Tujifunze ujasiri wa Zelensky Rais wa Ukraine

Tujifunze ujasiri wa Zelensky Rais wa Ukraine

images (14).jpeg
 
hawataki kivip mbona hakuna maandamano ya kumpinga zelensky na mbona wanajeshi wa-ukraine wako mstari wa mbele kupigania nchi yao
Maandamano utayaonea wapi ilhali uhuru wa habari umetoweka ndani ya UKRAINE? Ipo wazi bwana Zelensky na washirika wake wanaamua ni habari gani zitoke na kwa wakati gani.
 
Maandamano utayaonea wapi ilhali uhuru wa habari umetoweka ndani ya UKRAINE? Ipo wazi bwana Zelensky na washirika wake wanaamua ni habari gani zitoke na kwa wakati gani.
media zote dunia wanareport 24/7 kinachotokea ukraine mbona hawasemi kwamba zelensky wananchi hawamtaki

Usipende kujifariji kwa habari za uongo hazitakusaidia chochote jifunze kuface reality hatakama huupendi
 
media zote dunia wanareport 24/7 kinachotokea ukraine mbona hawasemi kwamba zelensky wananchi hawamtaki

Usipende kujifariji kwa habari za uongo hazitakusaidia chochote jifunze kuface reality hatakama huupendi
Sheria mpya ya habari ndani ya Ukraine ilizima uhuru wa habari.. Zelensky alivyo muoga amefuta vyama karibia vyote vya upinzani.. Kuhusu vyombo vya magharibi hivyo navyo vina ajenda zao na huu mgogoro kwani habari zao ni za upande mmoja.
 
Umeniharibia siku yangu. Naanza kusoma mara sisi waafrika hatu-aapreciate. Too generalization. Ujinga mtupu. Hivyo, nimeacha kusoma huu ujinga.
 
Hata kama una ujasiri haiwezekani kikundi cha wahuni wakudanganye upambane na jitu la miraba minne kwa kukuaminisha kuwa pambana nalo tutakusaidia! Harafu likishakubonda washabiki wa Manzese wanakufariji kuwa wewe ni jasiri!

Ndicho kinachotokea sasa hivi US na West wamemdanganya Zelensiky pambana na Russia tutakusaidia! Sasa anapata kipigo na kilichobaki ni kutembea dunia nzima huku akipiga mayowe kuomba msaada! Mara Ulaya,mara Uarabuni,mara Japan,mara kwetu Afrika,sijui amebakiza wapi!

Vita ile Ukraine haiwezi kuishinda Russia labda majeshi ya NATO yatakapotia mguu kitu ambacho hawako tayari! Na hawawezi kuipa Ukraine uanachama ili watumie article 5 kuipiga Russia.
 
Hata kama una ujasiri haiwezekani kikundi cha wahuni wakudanganye upambane na jitu la miraba minne kwa kukuaminisha kuwa pambana nalo tutakusaidia! Harafu likishakubonda washabiki wa Manzese wanakufariji kuwa wewe ni jasiri....
Russia hawezi kuishinda Ukraine
 
Umeandika vyema sana ila stori ni tofauti kwa Zelensky hana ujasiri wa aina yoyote ile, na anachokifanya ni kufuata na kufanya kile nchi washirika wanachokitaka.
Kama Wewe siyo jasiri huwezi hata kufuata kile washirika wanataka kwa Hali Kama hii ya Ukraine na Russia kwa Sasa.
 
Ni jasiri hilo liko wazi hata kama hupendi huo ndo ukweli
Jasiri wa kuwa tayari watu wake wafe na nchi iharibiwe kwa maslahi ya Marekani. Imagine Marekani aliamua kuachana na vita na Vietnam, Somalia nk baada ya kuona watu wake wanakufa, lakini huyohuyo ndiye anataka Zeleinsky akomae hata watu wake wote waishe. Hivi lipi bora kukubali nchi isijiunge nato au uiharibu nchi yako na watu wako wateketee kisa tu unatetea uhuru wako wa kujiunga na Nato.

Zeleinsky inawezekana sio mtu wa Ukraine bali pandikizi tu ndio maana halina uchungu na maisha ya watu wake.
 
Back
Top Bottom