Tujifunze ujasiri wa Zelensky Rais wa Ukraine

Jasiri wa kuwa tayari watu wake wafe na nchi iharibiwe kwa maslahi ya Marekani. Imagine Marekani aliamua kuachana na vita na Vietnam, Somalia nk baada ya kuona watu wake wanakufa...
Mkuu una shida ya kufikiri!

Marekani (mvamizi)alikimbia vietnam kwa kuokoa maisha ya watu wake na si Vietnam,sasa huoni hapa Urusi(mvamizi) ndio alitakiwa kuondoka Ukraine kuokoa watu wake(askari) na si Ukraine.
 
Kwa dhana yako hata ungekuwepo kipindi hicho ungeshauri Vietnam na Somalia wajisalimishe kwa Marekani ili nchi zao zisiharibiwe(mawazo ya kitumwa)
 
Kwa dhana yako hata ungekuwepo kipindi hicho ungeshauri Vietnam na Somalia wajisalimishe kwa Marekani ili nchi zao zisiharibiwe(mawazo ya kitumwa)
Hio ndo point yangu watu wanataka ukraine a-surrende sababu wanamshabikia putin yaani wanataka ukraine awafurahishe wao ambao wako nyuma ya keyboard tunasafari ndefu sana kwa hii za mentality
 
Zelensky anapigania nchi yake huko vietnam aliyequit ni mvamiz mmarekan na vietnam waliipigania nchi yao mpaka dakika ya mwisho na wakashinda

Mtu aje kwako alafu ukimbie umwachie nchi si-uzwazwa huo
 
Mkuu una shida ya kufikiri!
Marekani (mvamizi)alikimbia vietnam kwa kuokoa maisha ya watu wake na si Vietnam,sasa huoni hapa Urusi(mvamizi) ndio alitakiwa kuondoka Ukraine kuokoa watu wake(askari) na si Ukraine.
Nchi yetu ina mtaji mkubwa sana wa wajinga
Hivi vita ukiviangalia kwa ushabiki wa west vs russia huwez jifunza na ndo kilichopo jamiiforum yaan kirahis umwachie mvamiz nchi yako ambaye ni urusi

Putin ameonyeshwa maisha sio marahisi hivyo kama alivyokua anadhani kama alivyochukua crimea na ataichukua ukraine kirahis alafu aitishe referendum bandia aseme wananchi wa ukraine wameridhia kujiunga russia tatizo yuko predictable sana
 
Hakika, Wa Ukraine wameionyesha dunia jinsi ya kusimama imara dhidi ya uvamizi
 
Wananchi na raia wa Ukraine hawataki mapambano yanayoendelea kwa sasa. Hata wakiwa chini ya Russia kwao ni sawa tu .. Tatizo lipo kwa rais wao anayepambania maslahi ya USA..
Dhibitisha
 
Kidini waukrane wako sawa mtu anayekuja kutwaa ardhi ya nchi yako hapo hakuna kukubali mpaka kitukuu cha mwisho kichinjwe haina kurudi nyuma...enyi watanzania yeyite atakae tuvamia kwaajili ya ardhi yetu hakuna kumwachia Wala hata Kama ni taifa kubwa kama USA hizo ndio principle tumepewa na Mwenyezi Mungu na ukifa malipo yake Ni Bora zaidi kuliko kukaa na kumuachia adui akutawale.

Sipendi Vita naumia Sana kinachoendela lakini waukraine wako sawa na wanajeshi wake wengi wataingia peponi na raia wote waliobaki katka ardhi kutetea kilichopo.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wewe kikatuni, Jambazi likitaka kumla mke wako hutapambana hata kama utatolewa meno ubaki mapengo tu??
Sasa kama mke ulitongozewa kwanini upigane? Wale waliomtongozea ndiyo wanamuuza.....wakiongozwa na Kiranja USA na NATO
 
Safii [emoji122]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uwaonee huruma wenzako wanakufa kwa sababu ya Huo ujasiri wa Zelensky unaousifia, Usipende kujifunza kutoka kwa watu waharibifu, watoto wanakufa wasio na hatia wanakufa sababu yake, Hapa unasahau wanajeshi waliouwawa kwa ajili ya Zelensky huyu mtu atakufundisha kuuwa watu ili uwe jasiri , tena Zelensky yeye mwenyewe amesaidia sana wanajeshi wake kufa...amewapiga wanajeshi wake waliokuwa mateka wa VITA ameharibu future ya Ukrainians , huyu mtu Ametumwa na NATO kuiotoa Ukraine kama Sadaka ya Kuiharibu URUSI .... Usijifunze chochote kutoka kwa Zelensky,,,,,,AMEHARIBU Ukraine .....HEBU LIA kwa AJILI YA WENZAKO waliomwaga damu kwa SABABU yake.....usijisifu kwa sababu ya UJASIRI wa kusababisha MAUAJI na UHARIBIFU pray for PEACE jifunze mafanikio kutoka kwa watu wanaopenda amani , watu wenye upendo watu wasiopenda uharibifu. Watu wanaochukia vita...watu wanaopenda mazungumzo ya amani.."wana heri walio wapatanishi"..never appreciate any one, who is responsible for accomplishment of the WORKS OF the DEVIL (MURDERS , BATTLES , WARS , KILLINGS, DESTRUCTION)

Learn from people who have GREAT LOVE for all PEOPLE, Our God is LOVE , you are taught to LOVE, not to fight wars

MOSES amepigania haki ya Israel waliokuwa wanateswa utumwani, Moses Hajawa kibaraka wa mtu yeyote, JOSHUA ameendeleza kazi ya MOSES,

JOSHUA hakuwahi fanya kama Zelensky, Zelensky anafanya kazi ya kuwaleta NATO ambao ni maadui wa Urusi, kwa ajili ya kuiharibu Urusi, Ukraine na Urusi wamepigana kwa SABABU ya NATO na ina uma zaidi sababu Ukraine siku zote amekuwa rafiki mzuri wa URUSI

Ujasiri wa Joshua haufanani na Ujasiri wa Zelensky
Learning from Joshua is deferent from Learning from Zelensky
 
Kwa hiyo ulitaka ukraine waiachie nchi yao urusi aichukue kirahis rahis mbona ni point ya kijinga sana
Kwa hiyo huyo urusi anayeipiga mabomu ukraine kila siku ndo yuko sahii
Ujasiri ni ujasiri kinachotofautiana ni destination

Ya we mtu aje akuambie acha mali zako zote alafu unamwachia kirahis rahis sasa huo si uzoba wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…