Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi (black box) cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta

Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi (black box) cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta

Ifanyike hata replication tu. Kama ikiwezekana hata watu tu wawe wanasikiliza kadri ndege inavyokata mawimbi. Kukatika au kupotea kwa mawasiliano kati ya ndege na control tower ndio tayari iwe ni dalili kwamba hali si shwari.

Swali kidogo hapo mkuu, kole cha ndege ya Malaysia iliyopotea kilipatikana?
Kweli, lakin nahisi bado box ni muhim mfano unajua kuna maeneo ambapo ndege ikipata matatizo siyo rahisi kuwasiliana na wanao control, mfano radi, yaweza piga ikaharibu mitambo ya mawasiliano moja kwa moja, kikachobaki kinarekodi ni hicho
 
Sijasema kisiwepo, naelewa umuhimu wake ndio maana nikasema ifanyike replication nikimaanisha kifaa kiwepo lakini pia taarifa zitumwe nchi kavu/ardhini.
 
Nimependa sana hii mada kusema kweli, the man is intelligent, nimefikisha watu Sita ndani ya JF ambao nawafuatilia
 
Back
Top Bottom