Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi (black box) cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta

Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi (black box) cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta

Hiyo air France flight No 447, upelelezi wa chanzo cha ajali uligharimu USD 40m. kwa miaka miwili. Hii pesa unanunua Bombadier Mpya Q400 na change inabaki.
Ukiangalia sana air crash investigations, unaweza kuogopa kupanda ndege; Nadhani na mimi naelekea huko.
 
Hakika lakini wanafnya hivo hawajali gharama wao wanajali kupata chamzo cha hitilafu kurekebisha kwa nyingine zinazotengenezwa
 
Mtoa mada kajitahidi ila watz tusiwe wavivu kuna channel inaitwa national GEOGRAPHIC AU NAT-GEO hapa utapata full data kwanini ndege zinaanguka fdr na cvr ni vitu gani kipindi kinaitwa aircraft crush investigation

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo wanaongea kiingereza sa hapo ndio tatizo linapokuja unabak kukodolea macho mapicha picha tu
 
"Hata hivyo, kufuatia ajali ya ndege ya abiria ya nchini Malaysia ikiwa na watu 239 Machi 8, 2014 na kutoonekana hadi wakati huu, bunge la Marekani limepitisha sheria inayovitaka viwanda vya kuunda ndege mpya kuongeza muda huo wa uhai wa kisanduku cheusi hadi siku 90"

Hapa unazungumza kuwa uhai wa kifaa kuwa active kutoa info ilikuwa siku 30 hadi kupelekea kushindikana kwa upatikanaji wa ndege ya malaysia..... Hadi bunge likatunga sheria kifaa kiwe active kwa siku 90,

Ila hapa chini naona

"Kisanduku hicho kilitafutwa baharini kwa miaka 2, kabla ya kuonekana na kufuatwa na wazamiaji.

Kabla ya kupatikana taarifa za kisandu hicho ilikuwa imedhaniwa kuwa ndege hiyo ilipigwa na radi"

Niweke sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@La Vista14,
Sentence inajieleza kwamba kutokana na scenario hizo inabidi mamlaka husika zitunge utaratibu wa kukiwezesha kifaa hicho ku exist n.a. taarifa zaid ya siku 30
 
Sentence inajieleza kwamba kutokana na scenario hizo inabidi mamlaka husika zitunge utaratibu wa kukiwezesha kifaa hicho ku exist n.a. taarifa zaid ya siku 30
Nilichoandika nimequote toka kwa muandishi...... Kaandika siku 90.

Pitia makala...... Then iyo ilikua 2016 bado haikuwa sheria.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hapo urekebishe mkuu.. Mita 11,000 haziwezi kuwa (Futi 35) kutoka Ardhini.. Ahsante kwa bandiko lako.
 
Mkuu hongera Kwa uzi wako umenifunza mambo mengi ambayo nilkuwa siyajui
 
Lakin ndege hizo tunaagiza so kwamba tunajitengenezea
Wakienda kununua wakiambiwa tunamalizia installation ya black box nahisi watasema we tupe hivyo hivyo haipinduki hii.na ikipinduka hakuna atakaetuuliza.watanzania bhana hasa viongozi sijui wanawazaga nini.kama nikekosea kiingereza nisamehewe sio Wayne Rooney Mimi.
 
Back
Top Bottom