Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Hakika lakini wanafnya hivo hawajali gharama wao wanajali kupata chamzo cha hitilafu kurekebisha kwa nyingine zinazotengenezwaHiyo air France flight No 447, upelelezi wa chanzo cha ajali uligharimu USD 40m. kwa miaka miwili. Hii pesa unanunua Bombadier Mpya Q400 na change inabaki.
Ukiangalia sana air crash investigations, unaweza kuogopa kupanda ndege; Nadhani na mimi naelekea huko.
Mtoa mada kajitahidi ila watz tusiwe wavivu kuna channel inaitwa national GEOGRAPHIC AU NAT-GEO hapa utapata full data kwanini ndege zinaanguka fdr na cvr ni vitu gani kipindi kinaitwa aircraft crush investigation
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu elimu lazima siasa tunaweka pembeni
Hakuna ndege ambayo haina black boxBombadie za magufuli ninauhakika zimewekewa santuri ya kurekodi tu, hazina blackbox.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichoandika nimequote toka kwa muandishi...... Kaandika siku 90.Sentence inajieleza kwamba kutokana na scenario hizo inabidi mamlaka husika zitunge utaratibu wa kukiwezesha kifaa hicho ku exist n.a. taarifa zaid ya siku 30
Kwa Tanzania waweza kuta hakipo maana hata ndege zenyewe hazieleweki.Ndege zote duniani zinazo. Ni sheria so ndege zote zinatoka viwandani vikiwa na hiki kifaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipii hahahahahaKwa Tanzania waweza kuta hakipo maana hata ndege zenyewe hazieleweki.
Hii nchi mkuu inajijua yenyewe.Kivipii hahahahaha
Umenichekesha sanaHii nchi mkuu inajijua yenyewe.
Kuna vitu vya ajabu huwezi kuvipata popote,hata mbuzi hawafanyi ila hapa kwetu vinatokea.Umenichekesha sana
Lakin ndege hizo tunaagiza so kwamba tunajitengenezeaKuna vitu vya ajabu huwezi kuvipata popote,hata mbuzi hawafanyi ila hapa kwetu vinatokea.
Wakienda kununua wakiambiwa tunamalizia installation ya black box nahisi watasema we tupe hivyo hivyo haipinduki hii.na ikipinduka hakuna atakaetuuliza.watanzania bhana hasa viongozi sijui wanawazaga nini.kama nikekosea kiingereza nisamehewe sio Wayne Rooney Mimi.Lakin ndege hizo tunaagiza so kwamba tunajitengenezea