channel yenyewe kila nikichungulia nakutana na masamaki samaki kila sikuMtoa mada kajitahidi ila watz tusiwe wavivu kuna channel inaitwa national GEOGRAPHIC AU NAT-GEO hapa utapata full data kwanini ndege zinaanguka fdr na cvr ni vitu gani kipindi kinaitwa aircraft crush investigation
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipo lini na sangapi
Inategemea turbulence zinaitwa, inaenda juu kabisa ili mawingu yabaki chini, maana mawingu pia yana ukomo wake kwenda juu, mara nyingi ndege ulazimika kupanda juu sana kuepuka mtetemo hutokanao na kukatiza katika fogs(mawingu yanayokaribia kuwa mvua)Write your reply...mkuu nshomile big up
umenikumbusha tukio LA mwez uliopita nikitika Antwerp kwenda Hannover ujerumani na KLM royal Deutsche kuna wakati ndege iliyumba yumba mno hadi tukaogopa
tulielezwa kua kulikuwa na mawingu makubwa sana
alafu ni kwann ndege hupaa juu kupita kiasi?
kupAnd ndege ni hofu tupu hasa safari ndefu
Inategemea turbulence zinaitwa, inaenda juu kabisa ili mawingu yabaki chini, maana mawingu pia yana ukomo wake kwenda juu, mara nyingi ndege ulazimika kupanda juu sana kuepuka mtetemo hutokanao na kukatiza katika fogs(mawingu yanayokaribia kuwa mvua)
Labda nimsaidie, taarifa huwa zinatumwa mkuu, yani safari nzima rubani huwa anakuwa anawasiliana na ground control room wanaaongoza ndege, na kila akiingia anga la nchi husika mawasiliano yanaendelea mpaka anapofika destination kama ambavyo wewe unasema.
Hizo taarifa kwenye black box zinatunzwa tu incase imetokea sitofahamu fulani basi ndio inatumika kwa ishu kama ambazo mleta mada ameeleza za kujua chanzo cha ajali au matatizo mengine ya kiufundi kwenye ndege maana kinafuatilia mpaka mwenendo mzima wa engines.
Vyuma mkuu.....Changia ada sasa
Aisee tulitetemeshwa hatari,now najiandaa na safari ndefu sana, Hannover to Melbourne via ManilaInategemea turbulence zinaitwa, inaenda juu kabisa ili mawingu yabaki chini, maana mawingu pia yana ukomo wake kwenda juu, mara nyingi ndege ulazimika kupanda juu sana kuepuka mtetemo hutokanao na kukatiza katika fogs(mawingu yanayokaribia kuwa mvua)
Ufilipino, safari njema mkuu , mi ntapata safari ya sehem fulani lakin siyo now mpaka mwezi wa pili itakuwa ndefu kidogo,Aisee tulitetemeshwa hatari,now najiandaa na safari ndefu sana, Hannover to Melbourne via Manila
yaa Niko na shirika la kikatoliki LA ujerumani huwa tuna project kutembelea nchi zenye wakatoliki wengi, makao yetu ni pale cologne ujerumaniUfilipino, safari njema mkuu , mi ntapata safari ya sehem fulani lakin siyo now mpaka mwezi wa pili itakuwa ndefu kidogo,
Nadhani nchi kama Peru, Brazil, Italy mwende sana ndo wakatoliki wamejaayaa Niko na shirika la kikatoliki LA ujerumani huwa tuna project kutembelea nchi zenye wakatoliki wengi,makao yetu ni pale cologne ujerumani
Niko na fr Mosha
pia pale yupo fr mmoja anaitwa rutta.
Ndiyo mkuuJF ikiwa na mada nzito kama hizi itazidi kuleta sense!
Nilivyoelewa mimi ni uhai wa yale mawimbi yansyosaidia kifaa kipatikane kwa urahisi, yssni mawimbi ya electronic.Nilichoandika nimequote toka kwa muandishi...... Kaandika siku 90.
Pitia makala...... Then iyo ilikua 2016 bado haikuwa sheria.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo mbili hizo chanel, hiyo ya misamaki[emoji1] , na wanyama wengini ni NAT GEO WILD. Na kuna NAT GEO ya kawaida.channel yenyewe kila nikichungulia nakutana na masamaki samaki kila siku
ndio tunaenda kwa mabaraNadhani nchi kama Peru, Brazil, Italy mwende sana ndo wakatoliki wamejaa