Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi (black box) cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta

ndio tunaenda kwa mabara
tulianza ulaya nchi za uholanzi,Belgium,Spain, France tutaendelea,now ni Asia tutaanza Philippines nchi yenye wakatoliki wengi Asia,then Australia, newzelAnd
baadae mwakan tutatembea Latin america karibu nchi zote
Vema sana
 
Hicho kipindi sijawahi kukikosa nakipenda sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mwemyewe sasa hivi nakiangalia ila wanaboa kwa kurudia the same investigations mara kwa mara.
Mkuu @britanica asante kwa mada murua na inawafundisha wengi kwa lugha nyepesi wale wote ambao hawana access na vipindi vya investigations
 
channel yenyewe kila nikichungulia nakutana na masamaki samaki kila siku
Hahaha umenichekesha sana mkuu, Sio ile NGwld hii imebase "Men and Animals". Ipo yenyewe imeandikwa NGinv kama sijakosea, pia inategemea na package uliyonunua kwa upande wa dstv. Kwa azamu hata package ya elf 10 unazipata zote
 
ndio tunaenda kwa mabara
tulianza ulaya nchi za uholanzi,Belgium,Spain, France tutaendelea,now ni Asia tutaanza Philippines nchi yenye wakatoliki wengi Asia,then Australia, newzelAnd
baadae mwakan tutatembea Latin america karibu nchi zote
Mkuu utakuwa umeizunguka dunia nzima. Hiyo ni zaidi ya kutembelea vivutio vya utalii haha.
 
Hahaha umenichekesha sana mkuu, Sio ile NGwld hii imebase "Men and Animals". Ipo yenyewe imeandikwa NGinv kama sijakosea, pia inategemea na package uliyonunua kwa upande wa dstv. Kwa azamu hata package ya elf 10 unazipata zote
ahaaa sawa mkuu nitaangalia tena, maana ile ya masamaki ilifikia hatua nikaichukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…