muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Unasema kweli mkuu?Tanzania hatuna mitambo ya kusoma black box?,maana kuna ajari moja ilitokea,kisanduku kiliperekwa nje ya nchi kusomwa,hatuna wataalamu na mitambo au ilikuwa mipango ya jamaa kupanda pipa kwenda huko ughaibuni?..
Kupishana kivip mkuu weka sentence nzimaMkuu unaweza elezea tukio la ndege za Ethiopia na Kenya kupishana vile angani?
Huo ndiyo ukweli..Unasema kweli mkuu?
....Yale makosa ya controller,Ndege mbili katika flight leval moja (FL 370)...saidia mungu Ethiopian captain responds correctly with TCAS directives....kukosa hivyo kungekuwa na mid air collision....na watu kupoteza maisha....Mkuu unaweza elezea tukio la ndege za Ethiopia na Kenya kupishana vile angani?
AsanteKusema kweli niko addicted sana na nyuzi zako, huwa kuna mambo najifunza , ngoja ni subscribe kabisa
MKUU UPO Nimeiona comment yako leo ,nina ma role models hapa Kalamu1 Pascal Mayalla barafu na wengine kama Evarist ChahaliBritanicca wewe ni moja ya msomi ambaye nakuamini na unajua nn unafanya. Na kama upo kitengoni waliokufanyia recruit hawakukosea Ila kama mtu wa kawaida mwenzangu na Mimi basi we we ni kichwa sana. Hongera mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nalo linawezekana maana wanaweza kuhofia kupoteza uaminifu kwa wanunuzi wa ndegeHapo kwenye usomajinwa data kwenye hicho kifaa kuna sheria ambazo zinaweza kuwasaidia watengenezaji wa ndege kuficha taarifa endapo ikigundulika ajali imesababishwa na ubovi wa ndege!
Pia haiwezekani hicho kifaa kikaunganishwa na waongoza ndege wakati bado wakiwa safarini ili. Waweze kujua tatizo la ndege na kuwatahadharisha marubani? Kabla ya ajali
Haina kama hicho sababu drim liaina siyo ndege mkuu ni meri
Hata mimi mkuu ila tu anatakiwa abaki katika medani za kitaalamu maana Siasa ipo upande wa kushoto mwa BritaniccaKusema kweli niko addicted sana na nyuzi zako, huwa kuna mambo najifunza , ngoja ni subscribe kabisa