Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.
Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.
Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la Loliondo limeibuka na kuna watu wamekufa.
Haikutokea wakati Rais ni Mkapa, Nyerere au Magufuli.
Watu wa Oman wana mkono?