Tujihoji: Kwanini sakata la Loliondo huwa linaibuka tunapokuwa na marais wanaokuwa wanatokea Zanzibar? Je, ni sababu ya vinasaba vya Oman?

Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.

Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.

Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la Loliondo limeibuka na kuna watu wamekufa.

Haikutokea wakati Rais ni Mkapa, Nyerere au Magufuli.

Watu wa Oman wana mkono?
 
Attachments

  • F731D484-7774-43EB-9D96-E7467BEE9C3A.jpeg
    F731D484-7774-43EB-9D96-E7467BEE9C3A.jpeg
    29.7 KB · Views: 5
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.

Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.

Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la Loliondo limeibuka na kuna watu wamekufa.

Haikutokea wakati Rais ni Mkapa, Nyerere au Magufuli.

Watu wa Oman wana mkono?
Mzee Mwinyi hana vinasaba vya Oman wala Uarabuni.
 
Mzee wa ku shout f@@ck about Shithole countries.

Third countries kuna useless eaters wengi so wako kwenye mission ya kuwa minimise.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Anyway Biblia imetukataza kubishana na watu kama wewe "Usimjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake usije kufanana naye" (Mithali 26:4
Biblia na Siasa wapi na wapi?
Hizo Ni Kingdom mbili tofauti,
Na zina wafalme tofauti
 
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.

Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.

Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la Loliondo limeibuka na kuna watu wamekufa.

Haikutokea wakati Rais ni Mkapa, Nyerere au Magufuli.

Watu wa Oman wana mkono?
NI ukweli tupu wanapendelea ndugu zao wa Oman
 
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.

Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.

Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la Loliondo limeibuka na kuna watu wamekufa.

Haikutokea wakati Rais ni Mkapa, Nyerere au Magufuli.

Watu wa Oman wana mkono?
Kiukweli mimi sijui, labda kama kuna mtu anaweza thibitisha huo mkono wa Oman
 
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.

Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.

Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la Loliondo limeibuka na kuna watu wamekufa.

Haikutokea wakati Rais ni Mkapa, Nyerere au Magufuli.

Watu wa Oman wana mkono?
Mzee Mwinyi ni mkazi wa mkoa wa Pwani, huko Zanzibar alipelekwa kuwa Rais kimkakati tu.
 
Swala hili wa kumlaumu ni Karume alilazimisha damu zichanganywe kwa ndoa, mpka kina shangazi Fatma wako mpaka leo na watakuwepo.
 
Mtoa mada kwani hujui kuwa Waingereza waliwapa Waarabu Kaskazini ikawa ni mali yao. Kinachotokea sasa hivi ni kuww compesate tu a fraction ya what was rightfully theirs! Uhuru wa Tanganyika ulitolewa na Waingereza na sio Waarabu kwa hiyo Wqingereza walitowa sehemu ya Tanzania iliyokuwa sio katika himaya yao.
 
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.

Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.

Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la Loliondo limeibuka na kuna watu wamekufa.

Haikutokea wakati Rais ni Mkapa, Nyerere au Magufuli.

Watu wa Oman wana mkono?
Huna akili mbona kilindi cha Jk mgogoro ulikuwepo na hao wawekezaji si oman ni uae
 
Sema mack255 context ya post yangu umerukia daladala kwa mlango wa mbele.
Biblia hakuandikwa ili kuhukumu wengine.
Iliandikwa ili ujihukumu mwenyewe
Ya kaisari mpe Kaisari, Na yake MUNGU - sio una changanyachanganya
 
Mleta mada ficha Ujinga wako. Oman wana mahusiano gani na loliondo kwa sasa?
 
Back
Top Bottom