Tujihoji: Kwanini sakata la Loliondo huwa linaibuka tunapokuwa na marais wanaokuwa wanatokea Zanzibar? Je, ni sababu ya vinasaba vya Oman?

Tujihoji: Kwanini sakata la Loliondo huwa linaibuka tunapokuwa na marais wanaokuwa wanatokea Zanzibar? Je, ni sababu ya vinasaba vya Oman?

Kwani Ali Hasan Mwinyi anatokea Zanzibar? Huyo ni wa huku bara na kwao ni mkuranga mkoa wa Pwani ndipo kazaliwa sema tu elimu ya dini ndo kasomea Zenji lakini ni Mtanganyika kwa asili na sio mzenji kule alipelekwa na wakubwa kwa ajili ya kutulinza hali iliyokuwa imetokea na ndo Mana hakudumu akaludishwa huku kuendelea na kazi.
 
🐒🐒🐒
16565816466093.jpg
 
Biblia hakuandikwa ili kuhukumu wengine.
Iliandikwa ili ujihukumu mwenyewe
Ya kaisari mpe Kaisari, Na yake MUNGU - sio una changanyachanganya
Kama hujui Biblia kaa kimya. Hakuna cha Kaisari wala cha Mungu. Huo mfano hauendani kabisa. Yaani uue watu kwa vile una madaraka kama Magufuli alivyofanya halafu useme ndiyo ya Kaisari, then Jumapili uende Kanisani useme niombeeni?
 
Loliondo ilishauzwa na serikali kwa waarabu tangia enzi za Mwinyi kwa mkataba wa miaka 99! Akina kinana ndo wahusika wakuu kinana alishatangaza kustaafu lakini karudi na mama Samia baada ya kwenda kuchukuwa hela kwa waarabu tayari wamelitaka eneo lao!!! Wamasai wameuzwa tu jiulize serikali ilipata wapi hela za kuwakengea nyumba hao wamasai? Kenya ndo ina idadi kubwa ya mifugo eneo hilo ndo maana nao wameathirika zaidi na hili sakata!! Maaskari wetu walikiwa wakipangiwa hadi doriakwenda kulinda eneo hilo la Loliondo miaka na miaka
 
Uzoefu umeonyesha Waislamu wakiongoza nchi kunakuwa na uponyaji wa kitaifa, upendo, neema ya mtu mmoja mmoja. Hawana chuki wala kisasi na wanapenda kutafuta hela/ riziki wao wenyewe na hawana hiana na wengine wakipata

Mimi ni Mkristu Mkatoliki
Hii Katoliki mnapenda sana kuitumia ili ku justify ujinga wenu, better write your shit without mentioning that.

Unatetea ujinga.. upendo, neema, sijui na nini wakati wamasai wanaumizwa kule Loliondo usiku hawalali?

Stop this nonsense!.
 
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.

Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.

Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la Loliondo limeibuka na kuna watu wamekufa.

Haikutokea wakati Rais ni Mkapa, Nyerere au Magufuli.

Watu wa Oman wana mkono?

Chuki itawatesa sana, siku mama anastaafu mukapime presha/full check up.

Mama piga kazi
 
Mtoa mada kwani hujui kuwa Waingereza waliwapa Waarabu Kaskazini ikawa ni mali yao. Kinachotokea sasa hivi ni kuww compesate tu a fraction ya what was rightfully theirs! Uhuru wa Tanganyika ulitolewa na Waingereza na sio Waarabu kwa hiyo Wqingereza walitowa sehemu ya Tanzania iliyokuwa sio katika himaya yao.
Acha kuandika uongo
 
Hii Katoliki mnapenda sana kuitumia ili ku justify ujinga wenu, better write your shit without mentioning that.

Unatetea ujinga.. upendo, neema, sijui na nini wakati wamasai wanaumizwa kule Loliondo usiku hawalali?

Stop this nonsense!.

Hao masai Mungu awabariki sana. Je! Wamekuambia wanaumizwa, na hawalaki usiku??

Siku mama kipenze cha watu anastaafu mukapime presha/full check up.
 
EeeenHeeeee Heeee!

"Muscle" being pushed around by weaklings like "organ or soft tissue"?

Anyways, the simile conveys the message perfectly to the discerning reader.
Logically, semantically and grammatically there is huge difference between push through and push around.
 
Kuna kigugumizi kwenye ili watakuwa wameuza wapuuzi awa ila siku zinaenda tutawakimbiza kwa miguu mpaka Oman
 
Mimi sioni udini ila kuna uonevu na ukatili mkubwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za Raia
 
Mbona kikwete hujamtaja wewe kenge?
Kwani Kikwete ni Mzanzibari..?

All the way, hoja ya mleta mada inafikirisha sana. Na huyu jamaa (mleta mada) anatumia vyema kichwa na akili zake kufikiri hata kuja na hoja hii. And ofcoz it makes some senses kwa watu wanaotafakari na siyo wawaitao wenzao "kenge" kama wewe ulivyofanya...

Kwamba, kwanini hili sakata la Loliondogate lililoanzishwa na Rais Mzanzibari Mzee Ally Hassan Mwinyi about 30yrs ago kiasi cha kusababisha vifo na immediately limejirudia baada ya Rais mwingine Mzanzibari tena mwanamke aitwaye Samia Suluhu Hassan na limesababisha vifo tena..?

HAPANA. Lazima tujiulize na obviously, kwenye mashaka yetu haya ndiko tunakoweza kupata majibu..!!
 
Kwani Kikwete ni Mzanzibari..?

Hoja ya mleta mada inafikirisha sana and it makes some senses...

Kwamba, kwanini hili sakata la Loliondogate lililoanzishwa na Rais Mzanzibari Mzee Ally Hassan Mwinyi about 30yrs ago kiasi cha kusababisha vifo na immediately limejirudia baada ya Rais mwingine Mzanzibari tena mwanamke aitwaye Samia Suluhu Hassan na limesababisha vifo tena..?

HAPANA. Lazima tujiulize na obviously, kwenye mashaka yetu haya ndiko tunakoweza kupata majibu..!!
Mkuu umesoma mada kweli? Ametajwa Nyerere na Mkapa kwenye mada kwani wao ni waznz? Sielewi kwanini JK hajatajwa kwenye hii mada
 
Kuna kigugumizi kwenye ili watakuwa wameuza wapuuzi awa ila siku zinaenda tutawakimbiza kwa miguu mpaka Oman

Acha chuki na roho mbaya mkuu,

Aise chuki ni maradhi mabaya sana,, Mungu aniepushie gonjwa hili.

Among the Galatians hamkupenda mama huyu atuongoze, na mwaliko wake nchini oman imewatachi sana, na alivyokutana na ndugu zake ndio kabisaaa mmeumia sana.

Mungu awaongoze mkuu.
 
Mkuu umesoma mada kweli? Ametajwa Nyerere na Mkapa kwenye mada kwani wao ni waznz? Sielewi kwanini JK hajatajwa kwenye hii mada
Labda wewe ndiye mwenye shida ya kusoma na kuelewa mantiki ktk maandishi...

Kwani Wazanzibari Ally Hassan Mwinyi & Samia Suluhu Hassan wameingizwa ktk hoja ktk mantiki gani?

Na Kikwete na Ben Mkapa nao je, wameingia kwenye mada hii ktk mantiki gani..?
 
Mimi sioni udini ila kuna uonevu na ukatili mkubwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za Raia

Udini mnauleta nyinyi wagalatia, japo sio wote. Wapo wakristo wanampenda mama.

Mmasai anaondoka kwa hiari yake, anaeteseka na kuumia anaishi cjui kwa mromboo hukoo, cjui sombetini hukoo 😁😁 ila wabongo bwana, ndiomana maendeleo yanachelewa, yani chuki chuki tuu, mkisikia mwarabu tumbo linawaka moto.
 
Back
Top Bottom