Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Aandikacho mtu ndiyo kakizoea!! Kwa hiyo unafirwa bila kulipwa?Una hoja gani ya maana zaidi ya chuki za kipuuzi kama kahaba aliyepigwa bila malipo
Kama hujui Biblia kaa kimya. Hakuna cha Kaisari wala cha Mungu. Huo mfano hauendani kabisa. Yaani uue watu kwa vile una madaraka kama Magufuli alivyofanya halafu useme ndiyo ya Kaisari, then Jumapili uende Kanisani useme niombeeni?Biblia hakuandikwa ili kuhukumu wengine.
Iliandikwa ili ujihukumu mwenyewe
Ya kaisari mpe Kaisari, Na yake MUNGU - sio una changanyachanganya
Yeye hatokei Oman.Mbona kikwete hujamtaja wewe kenge?
Hii Katoliki mnapenda sana kuitumia ili ku justify ujinga wenu, better write your shit without mentioning that.Uzoefu umeonyesha Waislamu wakiongoza nchi kunakuwa na uponyaji wa kitaifa, upendo, neema ya mtu mmoja mmoja. Hawana chuki wala kisasi na wanapenda kutafuta hela/ riziki wao wenyewe na hawana hiana na wengine wakipata
Mimi ni Mkristu Mkatoliki
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.
Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.
Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la Loliondo limeibuka na kuna watu wamekufa.
Haikutokea wakati Rais ni Mkapa, Nyerere au Magufuli.
Watu wa Oman wana mkono?
Acha kuandika uongoMtoa mada kwani hujui kuwa Waingereza waliwapa Waarabu Kaskazini ikawa ni mali yao. Kinachotokea sasa hivi ni kuww compesate tu a fraction ya what was rightfully theirs! Uhuru wa Tanganyika ulitolewa na Waingereza na sio Waarabu kwa hiyo Wqingereza walitowa sehemu ya Tanzania iliyokuwa sio katika himaya yao.
Hii Katoliki mnapenda sana kuitumia ili ku justify ujinga wenu, better write your shit without mentioning that.
Unatetea ujinga.. upendo, neema, sijui na nini wakati wamasai wanaumizwa kule Loliondo usiku hawalali?
Stop this nonsense!.
Wanataka kuanzisha Jamhuri ya Oman Loliondo.
Hapa hawatakujibu, ni kejeli tu utaambulia ili kuficha udhaifu wao.
Logically, semantically and grammatically there is huge difference between push through and push around.EeeenHeeeee Heeee!
"Muscle" being pushed around by weaklings like "organ or soft tissue"?
Anyways, the simile conveys the message perfectly to the discerning reader.
Kwani Kikwete ni Mzanzibari..?Mbona kikwete hujamtaja wewe kenge?
Mkuu umesoma mada kweli? Ametajwa Nyerere na Mkapa kwenye mada kwani wao ni waznz? Sielewi kwanini JK hajatajwa kwenye hii madaKwani Kikwete ni Mzanzibari..?
Hoja ya mleta mada inafikirisha sana and it makes some senses...
Kwamba, kwanini hili sakata la Loliondogate lililoanzishwa na Rais Mzanzibari Mzee Ally Hassan Mwinyi about 30yrs ago kiasi cha kusababisha vifo na immediately limejirudia baada ya Rais mwingine Mzanzibari tena mwanamke aitwaye Samia Suluhu Hassan na limesababisha vifo tena..?
HAPANA. Lazima tujiulize na obviously, kwenye mashaka yetu haya ndiko tunakoweza kupata majibu..!!
Kuna kigugumizi kwenye ili watakuwa wameuza wapuuzi awa ila siku zinaenda tutawakimbiza kwa miguu mpaka Oman
Labda wewe ndiye mwenye shida ya kusoma na kuelewa mantiki ktk maandishi...Mkuu umesoma mada kweli? Ametajwa Nyerere na Mkapa kwenye mada kwani wao ni waznz? Sielewi kwanini JK hajatajwa kwenye hii mada
Mimi sioni udini ila kuna uonevu na ukatili mkubwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za Raia