jibril beder
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 236
- 235
Song kwenda man u ipi?Song kutoka Arsenal kwenda Man U.
Falcao kutoka Man utd kuja Chelsea.
Bila kusahau OKWI alipotoka uarabuni kuja Yanga.
Morata siwezi kumlaumu naamini akipata muda wa kucheza zaidi ata improve. Naomba asifananishwe na wachazaji wengine hivyo mimi sioni kama ni muda muafaka kumlaumu.
Niulizwe swali..
Victor Lindelof toka benfica kuja Man U,cjui kama ata improve yule jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Song kwenda man u ipi?
sent from using iphone 7+ mobile app
Atakuwa anamzungumzia berbetov wa msimu wa mwisho huyuMtoe Barbetov, alicheza vizuri mpaka akawa top scorer kwenye ligi.
SAF alioneshwa video ya youtube na queroiz akatoa noti kumchukua bebeSAF aliingizwa mkenge mkubwa.
barbetov umemwonea.Barbetov-----------------> Man Utd
Depay----------------------> ManUtd
HLeb>>>>>>>>>>>>> Barcelona
Silvester ------------------> Arsenal
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kasahau alivyokuwa anakimbizana magoli na AnelkaMtoe Barbetov, alicheza vizuri mpaka akawa top scorer kwenye ligi.
Ali flop....man u.....hata SAF alikiri..alimnunua 32''enzi zileMtoe Barbetov, alicheza vizuri mpaka akawa top scorer kwenye ligi.
Song kacheza man utd mwaka gani huoSong kutoka Arsenal kwenda Man U.
Falcao kutoka Man utd kuja Chelsea.
Bila kusahau OKWI alipotoka uarabuni kuja Yanga.
Morata siwezi kumlaumu naamini akipata muda wa kucheza zaidi ata improve. Naomba asifananishwe na wachazaji wengine hivyo mimi sioni kama ni muda muafaka kumlaumu.
Niulizwe swali..
Ok safi
flamini hakuwai kucheza barcaShevchenko kwenda Chelsea, Herman crespo kwenda Chelsea, zlatan kwenda barca, flamini kwenda barca,
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yy SAF alimuoverate Eric dnjemba djemba mbaka kumwita new cantonaDjemba djemba man u..huyu jamaa alikuwa garasaaa ikafikia hatua SAF kutowaamini ma black tena