Tujikumbishe kidogo maisha ya vijijini

Tujikumbishe kidogo maisha ya vijijini

Hiyo ya matairi sie tulikua tunayaendesha kwa kutumia miti. Unakua na miti yako miwili ya kama mita moja moja hivi unaingiza ndani ya tairi kila upande unaanza kuendesha. Sasa ili miti kule ndani ya tairi iteleze vizuri bas inabidi umiminie maji, oil chafu ya magari, mafuta ya kula, etc. Hata na sie "magari" yetu yalikua yakitumia "Wese"
 
Kijijini raha sana. Hakunaga stress kivile..

51B6115B-04B8-41F5-B81B-A6874ED85ACB.jpeg
 
Watu tume propose mademu zetu primary kwa kutumia zile pipi pete unakula pipi kile kipete unaenda kumvalisha binti

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tushaweka sana vioo chini ya madawati kwa ajili ya kuwachungulia dada zetu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jinsi ya kukutana ana demu primary mnaenda kwao pale nje mmoja anakaa mbele mbali kidogo mwingine nyuma af mnaanza kuitana kwa nguvu majina yenu demu akiwasikia anatoka mwenyewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kipindi hicho hakuna simu jinsi ya kuonana na binti unampa saa flan hivi zilikua zinawaka na zina alarm kwa wakubwa wanazikumbuka unamsetia alarm muda flan ikilia tu inabidi atoke nje muhuni uko pale unamsubiri
Ni kwenda na muda tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tushacheza mchezo mnakusanya mchanga katikati mnaweka kijiti af mnaanza kupunguza mchanga huku mkiimba tule tule tumbakishie baba asa angusha kile kijiti balaa lake utaliona

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Iliku mkiona watu wanajenga nyumba wakaishia kwenye beam basi nyie uwanja wenu wa kufukuzana mule juu unaruka dirisha to dirisha mlango to mlango af juu ukianguka mpaka chini hata kulia huwezi mbavu zimebana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huko ndio usiseme sasa, nimecheza sana.

Nimecheza rede(nilikuwa napenda kuingia kama mtu wa kotekote), mchezo mmoja sisi tunauita IKHALU( upo kwenye picha hapo juu watoto wanarusha kajiwe juu huku wakiingiza vijiwe vingine kwenye kashimo kadogo chini), mwingine tulikuwa tunauiya CHAILETI (tunachora madrafti chini makubwa halafu unachukua kajiwe unaanza kukasukuma kiruke hayo madrafti kwa mguu mmoja huku mwingine ukiwa umeukunja usiguse chini), mchezo wa kushika kamba watu wawili halafu mmoja akiwa katikati anarukaruka.

Hiyo ni baadhi tu ambayo tulikuwa tunacheza tukiwa mix na wasichana
Huo wa madraft tuliuita tikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nakumbuka mchozo flani wa karata tuliuita KIBOY ni kama last card, yan unacheza anaebak na karata kubwa wa mwisho anapigwa vibao kama thaman ya karata, mfano ukibaki na joker unapigwa vibao hamsini, kuna jamaa alibaki na joker na namba mbili zilikuwa mbili yani hapo anatakiwa vibao mia, asee jamaa alipigwa hadi akaingia chini ya stuli

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahaaa we nae bwana ulikuwa unacheza michezo ya kike, hapo kwenye kuruka kwenye madrafti chini ndio mchezo nimecheza pengine kuliko yote...ila hapo kwenye jiwe tulikuwa tunatumia kipande cha chungu kilichovunjika tena tulikuwa tunatunza ukimaliza kucheza unarudi nacho nyumbani na kilikuwa na jina lake sema nimesahau

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kipande cha chungu kwetu kilikuwa kinaitwa Kimadi...[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom