Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
NdioHadi rede duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioHadi rede duuh
Hahahaaa we nae bwana ulikuwa unacheza michezo ya kike, hapo kwenye kuruka kwenye madrafti chini ndio mchezo nimecheza pengine kuliko yote...ila hapo kwenye jiwe tulikuwa tunatumia kipande cha chungu kilichovunjika tena tulikuwa tunatunza ukimaliza kucheza unarudi nacho nyumbani na kilikuwa na jina lake sema nimesahauHuko ndio usiseme sasa, nimecheza sana.
Nimecheza rede(nilikuwa napenda kuingia kama mtu wa kotekote), mchezo mmoja sisi tunauita IKHALU( upo kwenye picha hapo juu watoto wanarusha kajiwe juu huku wakiingiza vijiwe vingine kwenye kashimo kadogo chini), mwingine tulikuwa tunauiya CHAILETI (tunachora madrafti chini makubwa halafu unachukua kajiwe unaanza kukasukuma kiruke hayo madrafti kwa mguu mmoja huku mwingine ukiwa umeukunja usiguse chini), mchezo wa kushika kamba watu wawili halafu mmoja akiwa katikati anarukaruka.
Hiyo ni baadhi tu ambayo tulikuwa tunacheza tukiwa mix na wasichana
Naskia ninyi huwa mna comment huko masaki....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahahaaaa.Hahahaaa we nae bwana ulikuwa unacheza michezo ya kike, hapo kwenye kuruka kwenye madrafti chini ndio mchezo nimecheza pengine kuliko yote...ila hapo kwenye jiwe tulikuwa tunatumia kipande cha chungu kilichovunjika tena tulikuwa tunatunza ukimaliza kucheza unarudi nacho nyumbani na kilikuwa na jina lake sema nimesahau
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naskia ninyi huwa mna comment huko masaki....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi asee. Nilikuwa bingwa wa kuwahi michuchu mikali
Ndugu mjumbe....Hahahahaaaa.
Nimejichanganya sana kwenye michezo mingi ya kike utotoni
AU TUMWOMBE MUNGU NINI DUNIA IRUDI NYUMA TUENJOY TENA YALE MAISHA YETU YA ZAMANI?Hahahahaaaa.
Nimejichanganya sana kwenye michezo mingi ya kike utotoni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndugu mjumbe....
Ebu naomba ufanye editing hapo kwenye (ke), maana vijana hawachelewi kuuja pm[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tu supp hivyo hivyo mkuu hata katika umri huu...[emoji3][emoji3]AU TUMWOMBE MUNGU NINI DUNIA IRUDI NYUMA TUENJOY TENA YALE MAISHA YETU YA ZAMANI?
MAANA TAYARI SS HV TUNAANDAMWA NA JANGA LA "UHENGA"[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Danadana nimeipiga sana, kulikuwa na vinara wa danadana, akiushika mpira hadi mnasahau kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheza sana komborela
kupiga danadana kwa kentozi za rambo
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nilikua nkipiga napiga mpaka 1200Danadana nimeipiga sana, kulikuwa na vinara wa danadana, akiushika mpira hadi mnasahau kabisa