Tujikumbishe kidogo maisha ya vijijini

Tujikumbishe kidogo maisha ya vijijini

Huko ndio usiseme sasa, nimecheza sana.

Nimecheza rede(nilikuwa napenda kuingia kama mtu wa kotekote), mchezo mmoja sisi tunauita IKHALU( upo kwenye picha hapo juu watoto wanarusha kajiwe juu huku wakiingiza vijiwe vingine kwenye kashimo kadogo chini), mwingine tulikuwa tunauiya CHAILETI (tunachora madrafti chini makubwa halafu unachukua kajiwe unaanza kukasukuma kiruke hayo madrafti kwa mguu mmoja huku mwingine ukiwa umeukunja usiguse chini), mchezo wa kushika kamba watu wawili halafu mmoja akiwa katikati anarukaruka.

Hiyo ni baadhi tu ambayo tulikuwa tunacheza tukiwa mix na wasichana
Hahahaaa we nae bwana ulikuwa unacheza michezo ya kike, hapo kwenye kuruka kwenye madrafti chini ndio mchezo nimecheza pengine kuliko yote...ila hapo kwenye jiwe tulikuwa tunatumia kipande cha chungu kilichovunjika tena tulikuwa tunatunza ukimaliza kucheza unarudi nacho nyumbani na kilikuwa na jina lake sema nimesahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaaa.

Nimejichanganya sana kwenye michezo mingi ya kike utotoni
 
Hahahahaaaa.

Nimejichanganya sana kwenye michezo mingi ya kike utotoni
Ndugu mjumbe....
Ebu naomba ufanye editing hapo kwenye (ke), maana vijana hawachelewi kuuja pm[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ndugu mjumbe....
Ebu naomba ufanye editing hapo kwenye (ke), maana vijana hawachelewi kuuja pm[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kazi kwao mh mjumbe
 
UKWELI MCHUNGU NI HUU HAPA:

KAMA HUKUWEZA KUCHEZA AINA YA MICHEZO YOTE UTOTONI KAMA MIMI, BASI HUTAKAA UENJOY MAISHA KAMWE!

NIULIZE AINA YOYOTE YA MCHEZO WA UTOTONI AMBAO SIKUCHEZA NITAKUPATIA ZAWADI YA PAPO KWA HAPO 10,000/=.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAWAHURUMIA SANA WATOTO WA KIZAZI CHA KUKU MATAIRA KWA KUSHINDA KUTWA NZIMA KWENYE KOMPYUTA WAKIENDESHA MAGARI FEKI, WAKIPIGANA VITA FEKI VYA NGUMI NA MITUTU BILA HATA KUSWETI JASHO LOLOTE.

NAWAHURUMIA PIA WATOTO WA KISASA AMBAO KWAO KUKIMBIA MCHAKAMCHAKA ASUBUHI SHULENI NI DHAMBI.

NAWAHURUMIA SANA TENA SAAAAANA WATOTO WA KIZAZI CHA "HAKI SAWA" AMBAPO WANALELEWA KAMA MAYAI HUKU WAZAZI WAO WAKIAMINI KIBOKO HAKIFUNDISHI ZAIDI YA KUWAPATIA WATOTO WAO SUGU, ILIHALI WAZAZI WAO WENYEWE WALILAMBWA SANA VIBOKO NA KUKAA KTK MSTARI BORA KIMAADILI MEMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom