Tujikumbushe: Africa writers series

The great ponds - Elechi amadi

Learning the hard way - Yusuph Akilimali

Adili na nduguze - Shaaban Robert
 
 
1. The Trial of Brother Jero
2. Drum Beat
3. Facing Mount Kenya
4. This Time Tomorrow
5. Ubeberu Utashindwa
6. Obi
7. Black Hermit
8. Cry the Beloved Country
 
Mkuu, naomba nikusahihishe kidogo tu. Ni kwamba mwandishi wa The Great Ponds hakuwa Chinua Achebe bali ni Elechi Amadi. Na mwandishi wa The River Between hakuwa Chinua Achebe Bali ni Mkenya Ngugi wa Thiong'o.

Hata hivyo nakupongeza kwa kumbukumbu nzuri sana mkuu.
 
Asante sana
 
Mwenye kujua link za hivi vitabu atuwekee tujikumbushie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…