lemone grass
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 289
- 335
Nyota ya Rehema
Mohamed S. Mohamed
Mohamed S. Mohamed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi nilivisoma vitabu zaidi ya 50 vya African Writers Series nikianzia na HOUSE BOY by Ferdinand Ayono alichokinunua rafiki yangu Laban Kauga (marehemu) miaka ya sitini kule Mbeya na kufungua mlango wa kusaka kila kipya kilipotokea.
Vitabu kama Things Fall Apart; No Longer At Ease; One Man One Matchet; The Only Son; Obi; A Wreath for the Maidens; A Bridge for the Wedding;A Dancer of Fortune; Mission to Kala; The Concubine; The Great Ponds; A Few Days and Nights; The Edifice; Girls at War; Sun Set in Biafra; Chief, The Honourable Minister; Kinsman and Foreman etc etc etc vilikuwa na mvuto wa kipekee na kueleweka zaidi na sisi tuliozaliwa na kukulia vijijini na kusoma enzi za harakati za nchi za kiafrika kudai Uhuru na kufanya kazi mwanzoni mwa Uhuru.
Kitabu kama "The Concubine" ambacho tangu neno la kwanza hadi la mwisho kilitawaliwa na desturi za kiasili na mila za eneo bila kuingiza hata neno moja la kigeni kilinivutia sana mimi niliyezaliwa kijiji cha ndani kabisa km 33 toka makao makuu ya wilaya yangu ambako gari ndogo ya kwanza kuiona ni ya Askofu aliyekuja kutoa Kipa-Imara. Huko hakukuwa na duka hata moja la mhindi au mwarabu.
Huwa narudia kuvisoma vitabu hivyo kufifurahisha.
Asante sanaMkuu, naomba nikusahihishe kidogo tu. Ni kwamba mwandishi wa The Great Ponds hakuwa Chinua Achebe bali ni Elechi Amadi. Na mwandishi wa The River Between hakuwa Chinua Achebe Bali ni Mkenya Ngugi wa Thiong'o.
Hata hivyo nakupongeza kwa kumbukumbu nzuri sana mkuu.
Dash, naipenda sana hii quote take,Song of Lawino - Okoth p'Bitek
Pamoja sana.Asante sana
Mwenye kujua link za hivi vitabu atuwekee tujikumbushieView attachment 493602Hawa ni miamba wa Afrika walioandika vitabu vya hadithi siasa uchumi nk.. Wengi wameondoka wachache bado wako hai... Lakini bila kujali hilo Maandishi na maandiko yao yatadumu milele
Mine boy by Peter Abraham
Things fall apart by Chinua Achebe
House boy by Ferdinand Oyono
Mission to Kala by Mongolian Beti
The beautiful ones are not yet born
The only son by John Mwonye
Petals of blood by Ngugi wa Thiongo
A grain of wheat by James Ngugi
The black hermit by Ngugi wa Thiongo
Weep not child by James Ngugi
The great ponds by Chinua Achebe
The river between by Chinua Achebe
The slave by Elechi Amadi
We killed Mangy-dog
The concubine by Elechi Amadi
Quortent
Arrow of God by Chima
A duty of memory
The interpreters by Wole Soyinka
Song of Lawino etc etc....
Kizazi cha novel kimetoweka kumbukumbu iliyobaki ni haya Maandishi ya hawa wazee
Big respect to you all greatest African writers
Ole kuletIs it possible?Mtunzi nimemsahau.Nilikipenda sana.Ilikuwa raha sana.Halafu ukute ticha mkali kwa uchambuzi...raha sana.