Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Mwalimu John Komba, ndiyo maana akapelekwa jeshi kuwa kamisaa; alistaafu jeshi akiwa kapteni. Shairi jingine la wimbo huo ni pamoja na:Amini kapinga ngoma Gadafi kaimba wimbo maiti nayo yasema Aa! aacha Tanzania utaitambua
Maiti siyo mwingine ni Amini,
Na Aminii amini kapiga ngoma...
Kambona aliagiza Chipaka a Kamaliza,pindueni mkiweza nitawapeni mapesa,nikirudi safarini Uingereza!
Nani alitunga wimbo huu tuliimba tukiwa watoto?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
"Bwana Lumbumba wa kongo
walimpiga magongo
Wakamvunja mgongo
Wakamtoa Ubongo
wala hiyo si uwongo ni ukweli!