Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

Status
Not open for further replies.
Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma

Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.

Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
Na siku moja barabara ya kuelekea katika soko kuu la Rombo itaitwa Ben Saanane road. Au nawe utasahaulika? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma

Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.

Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki

Aiiseee.... Four years now!!
 
Dada angu,ebu acha udini,nakupenda,nakuheshimu,After Ashadii,unayefuatia ni wewe lakin unakoelekea,ulikuwa wa kujenga hoja,lakin cku hiz,mh.
Ok.Tuacheni hisia za kidini,tusemezane ukweli wa haki ndugu zangu,hisia za kidini hazijengi maana ukimuita mbudha yeyote atakwambia uislamu na ukristo ni mambo ya ajabu,hivyo ondoemi hisia hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu willium makori chacha ni babu mzaa mama. Umenikumbusha kitambo sana asee. Nakumbuka kipindi hicho baada ya mapinduzi kugonga mwamba aliandamwa na kesi za uhaini, hadi leo hakuna anae jua kinaga ubaga kuhusu tukio hili maana bibi zangu wanasema mzee hakuwahi kuwaambia hadi anaingia kaburini . But babu chacha alishinda kesi na baada ya hapo alipewa ukurugenzi wa maliasili. Asee nimemkumbuka sana huyu babu may his soul rest in peace[emoji112]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Si tunaongea vitu vya maana watu wengine wanaleta pumba na mizaha kama huna point ya kuongea si unyamaze Silence=WISDOM
 
Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma

Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.

Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
@Mohamed Said
 
Mwifwa,
Kitabu cha maisha ya Oscar Kambona kinaandikwa na mmoja wa mabingwa wa historia ya Tanzania.

Mwandishi huyu amepata kuandika kuhusu Tanzania.

Tusubirini kitabu kitoke.
Usisahau kutuletea samari yake humu
 
Mzee Said naona na huku upo.

Ila hapa mimi nabaki kama msomaji tu...nami nakisubiri kwa hamu kitabu hicho.
Mwifwa,
Kitabu cha maisha ya Oscar Kambona kinaandikwa na mmoja wa mabingwa wa historia ya Tanzania.

Mwandishi huyu amepata kuandika kuhusu Tanzania.

Tusubirini kitabu kitoke.
 
Wabongo mna vichwa pumba na si tuu mnatema pumba..Sasa umesema nini hapa?Unanishutumu, nidharau..halafu unamaliza kwa ujinga bila proof, wala maelezo ya maana....mmekuwa brainwashed na hawa wehu ..kila media inawapigia debe km JK alivyopigiwa debe ili vichwa vijiandae kukubali kila kitu blindly...hao jamaa wasiwatishe na Uprof wao..Hawana kitu.....kimaadili, kifikra etc,,,ndio maana Vichwa vyao vinapendelea baised views..

Utaendelea sikiliza sifa za kibongo ambazo zina malengo mabaya sana .....nyingi ni za kimikakati ili baadae watumike kuwalazimsiha kitu, ili wamsafishe mtu, etc.....hata Lipumba hadi leo anapigiwa debe..km akili yak ahaipo kichwani utamsubiri sana huyu prof awe prof ..unaweza pigana na wengine wanaoona hakuna kitu ukawaita wana ubaguzi wa rangi, sijui wa dini ..kumbe ni wewe na wenzio ndio mnashida za kupima watu.
Kwa Profesa Ibrahimu Haruna Lipumba hapo umenena na uliandika haya Oktoba 2013 lakini yaliyokuja kutokea baadaye ni uthibitisho kuwa ukisemacho ni kweli. Ni ukweli mchungu sana kwa kweli ila inabidi ukubaliwe.
 
Mzee Nyerere alikuwa mchoyo sana wa madaraka yaani yeye hakutaka mtu apingane naye ki mtazamo , sijui alijiona kama malaikaa??

No wonder alikaa miaka zaidi ya 20 madarakani
no wonder watoto wake hakuna anayefuata nyayo zake
 
Mbona walimpa heshima ya barabara kama ni mhaini?
Alishiriki sana katika kuhamasisha harakati za kugombea uhuru, na Nyerere hakutaka kusahau mchango wake huo, ndiyo maana akampa msamaha haraka sana baada ya kuwa amekutwa na hatia hiyo ya uhaini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom