balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Siyo tuu kupatana,walikuwa na yao meengi tuu.Ingekuwa mama Maria ni dizain ya akina Joyce kiria,sijui familia ingekuwa katika mukhtadha upi.Kama tena walipatana basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo tuu kupatana,walikuwa na yao meengi tuu.Ingekuwa mama Maria ni dizain ya akina Joyce kiria,sijui familia ingekuwa katika mukhtadha upi.Kama tena walipatana basi
Na siku moja barabara ya kuelekea katika soko kuu la Rombo itaitwa Ben Saanane road. Au nawe utasahaulika? [emoji23][emoji23][emoji23]Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma
Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.
Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma
Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.
Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
Dada angu,ebu acha udini,nakupenda,nakuheshimu,After Ashadii,unayefuatia ni wewe lakin unakoelekea,ulikuwa wa kujenga hoja,lakin cku hiz,mh.
Ok.Tuacheni hisia za kidini,tusemezane ukweli wa haki ndugu zangu,hisia za kidini hazijengi maana ukimuita mbudha yeyote atakwambia uislamu na ukristo ni mambo ya ajabu,hivyo ondoemi hisia hizo.
ulete ww huo wa piliUmeleta upande mmoja wa shillingi sasa leta na wa pili.
Nami nilikuwa najiuliza hapaMbona walimpa heshima ya barabara kama ni mhaini?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]hii kali bibi titi na IQ ndogo vile nae alitaka kujifanya mastermind
wee alisoma Makerere Bibi Titi ndio hakuwa na shuleKambona hana ata shule
@Mohamed SaidNaendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma
Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.
Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
Mwifwa,@Mohamedi Said
Usisahau kutuletea samari yake humuMwifwa,
Kitabu cha maisha ya Oscar Kambona kinaandikwa na mmoja wa mabingwa wa historia ya Tanzania.
Mwandishi huyu amepata kuandika kuhusu Tanzania.
Tusubirini kitabu kitoke.
Mwifwa,Usisahau kutuletea samari yake humu
Mwifwa,
Kitabu cha maisha ya Oscar Kambona kinaandikwa na mmoja wa mabingwa wa historia ya Tanzania.
Mwandishi huyu amepata kuandika kuhusu Tanzania.
Tusubirini kitabu kitoke.
Kwa Profesa Ibrahimu Haruna Lipumba hapo umenena na uliandika haya Oktoba 2013 lakini yaliyokuja kutokea baadaye ni uthibitisho kuwa ukisemacho ni kweli. Ni ukweli mchungu sana kwa kweli ila inabidi ukubaliwe.Wabongo mna vichwa pumba na si tuu mnatema pumba..Sasa umesema nini hapa?Unanishutumu, nidharau..halafu unamaliza kwa ujinga bila proof, wala maelezo ya maana....mmekuwa brainwashed na hawa wehu ..kila media inawapigia debe km JK alivyopigiwa debe ili vichwa vijiandae kukubali kila kitu blindly...hao jamaa wasiwatishe na Uprof wao..Hawana kitu.....kimaadili, kifikra etc,,,ndio maana Vichwa vyao vinapendelea baised views..
Utaendelea sikiliza sifa za kibongo ambazo zina malengo mabaya sana .....nyingi ni za kimikakati ili baadae watumike kuwalazimsiha kitu, ili wamsafishe mtu, etc.....hata Lipumba hadi leo anapigiwa debe..km akili yak ahaipo kichwani utamsubiri sana huyu prof awe prof ..unaweza pigana na wengine wanaoona hakuna kitu ukawaita wana ubaguzi wa rangi, sijui wa dini ..kumbe ni wewe na wenzio ndio mnashida za kupima watu.
no wonder watoto wake hakuna anayefuata nyayo zakeMzee Nyerere alikuwa mchoyo sana wa madaraka yaani yeye hakutaka mtu apingane naye ki mtazamo , sijui alijiona kama malaikaa??
No wonder alikaa miaka zaidi ya 20 madarakani
Alishiriki sana katika kuhamasisha harakati za kugombea uhuru, na Nyerere hakutaka kusahau mchango wake huo, ndiyo maana akampa msamaha haraka sana baada ya kuwa amekutwa na hatia hiyo ya uhaini.Mbona walimpa heshima ya barabara kama ni mhaini?