Tujikumbushe CHADEMA ya 2013: Tamko la Zitto baada ya kuvuliwa uanachama kwa kupanga kumng'oa Mbowe katika nafasi ya uenyekiti kwenye uchaguzi

Tuhuma mojawapo ambayo CHADEMA walimfukuza Zitto ni baada ya Zitto kutaka kamati ya bunge ya PAC ifanye ukaguzi wa matumizi ya pesa za chama, kamati kuu ikammaindi Zitto eti kwa nini asiwatonye kwanza kabla ya kupeleka hoja hiyo bungeni!. Leo Historia inajirudia, kuna madai kuwa matumizi ya pesa huko CHADEMA hayeleweki eleweki
 
Halafu kituko cha karne ni kwamba aliyekuwa mstari wa mbele, kidedea kabisa, katika kuhakikisha Zitto anang'olewa CDM ni yeye TAL!!!

Isn't karma a bitch?!
 
Mkuu tuweke kumbukumbu sahihi, sio kituko kwa sababu mchakato uliopo ni wa uchaguzi sio kumng'oa Tindu Lissu hang'olewi kwenye chama chochote.

Hakuna mahali chama kimesema kimemkuta na hatia. Usipotoshe watu.
 
mchakato uliopo ni wa uchaguzi sio kumng'oa Tindu Lissu hang'olewi kwenye chama chochote
Mkuu, tunza hii komenti yako hadi hapo baadaye. Inavyoonekana wewe ndiye kipofu pekee mwenye macho mazima!
 
Tuhuma mojawapo ambayo CHADEMA walimfukuza Zitto ni baada ya Zitto kutaka kamati ya bunge ya PAC ifanye ukaguzi wa matumizi ya pesa za chama, kamati kuu ikammaindi Zitto eti kwa nini asiwatonye kwanza kabla ya kupeleka hoja hiyo bungeni!. Leo Historia inajirudia, kuna madai kuwa matumizi ya pesa huko CHADEMA hayeleweki eleweki
Saccos ya mbowe na gang lake hii
 
Back
Top Bottom