Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Halafu kituko cha karne ni kwamba aliyekuwa mstari wa mbele, kidedea kabisa, katika kuhakikisha Zitto anang'olewa CDM ni yeye TAL!!!Tuhuma mojawapo ambayo CHADEMA walimfukuza Zitto ni baada ya Zitto kutaka kamati ya bunge ya PAC ifanye ukaguzi wa matumizi ya pesa za chama, kamati kuu ikammaindi Zitto eti kwa nini asiwatonye kwanza kabla ya kupeleka hoja hiyo bungeni!. Leo Historia inajirudia, kuna madai kuwa matumizi ya pesa huko CHADEMA hayeleweki eleweki
Mkuu tuweke kumbukumbu sahihi, sio kituko kwa sababu mchakato uliopo ni wa uchaguzi sio kumng'oa Tindu Lissu hang'olewi kwenye chama chochote.Halafu kituko cha karne ni kwamba aliyekuwa mstari wa mbele, kidedea kabisa, katika kuhakikisha Zitto anang'olewa CDM ni yeye TAL!!!
Isn't karma a bitch?!
Mkuu, tunza hii komenti yako hadi hapo baadaye. Inavyoonekana wewe ndiye kipofu pekee mwenye macho mazima!mchakato uliopo ni wa uchaguzi sio kumng'oa Tindu Lissu hang'olewi kwenye chama chochote
Mkuu, tunza hii komenti yako hadi hapo baadaye. Inavyoonekana wewe ndiye kipofu pekee mwenye macho mazima!
Saccos ya mbowe na gang lake hiiTuhuma mojawapo ambayo CHADEMA walimfukuza Zitto ni baada ya Zitto kutaka kamati ya bunge ya PAC ifanye ukaguzi wa matumizi ya pesa za chama, kamati kuu ikammaindi Zitto eti kwa nini asiwatonye kwanza kabla ya kupeleka hoja hiyo bungeni!. Leo Historia inajirudia, kuna madai kuwa matumizi ya pesa huko CHADEMA hayeleweki eleweki