Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun

Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kwa mnao fuatilia bongo fleva toka kitambo nadhani mtakuwa mnamkumbuka sana huyu jamaa.
Haroun Rashid Juma Kahena.Almaarufu kama Inspector Haroun aliteka sana soko la muziki wa Bongo fleva miaka ya 2000 mwanzoni.
Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun kwenye muziki wa Bongo Fleva
 
Hajawahi kuwa na ufalme wowote, ila amewahi kufanya vizuri sana na wimbo wa Mtoto wa Geti kali, ilikuwa ni bonge moja la jiwe
Ngoja fans wake waje
 
Hapana sidhani kama alikua juu zaidi ya Sir Nature, nijuavyo walikua wanashindana na kupigana vijembe mpaka aliposalimu amri na kufanya collabo ya Mzee wa Busara remix.

Jamani i miss Mzee wa Kibla, where is he?
 
Ngoma zake zilikuwa poa sana hata leo zikipigwa lazima utikise kichwa
 
Mwaka 2001 pale Pool Side, Kilimanjaro Hotel enzi hizo, Unique Sisterz walikuwa wanazindua album. Wasanii waalikwa kibao walifanya performance zao. Baadae alikuja kupanda Haruna Kahena peke yake, akapiga bonge la show moja sitasahau mpaka kesho.
 
huyu jamaa nakumbuka enzi nipo form one 2001 alikuwa ndio kama diamond wa bongo fleva sasa hivi
Hahaha we jamaa una furahisha sana Amin amin nakuambia juma nature na kismat chake ajawahi fika ata nusu ya diamond sembuse inspector harun (babu) in jesus’s Voice
 
Mashindano ya Mfalme wa Rhymes, ule mtanange kila mtu alikuwa anaona Inspector Haroun anabeba. Ndio pale Mzee Mzima Sugu alipopanda jukwaani na Darubini Kali kuja kumsaidia Afande Sele. Haruna Kahena alitisha sana enzi zake
 
no k
Hapana sidhani kama alikua juu zaidi ya Sir Nature, nijuavyo walikua wanashindana na kupigana vijembe mpaka aliposalimu amri na kufanya collabo ya Mzee wa Busara remix.

Jamani i miss Mzee wa Kibla, where is he?
ni kama east coast na tmk wanaume kabla ya kugawanyika tmk kuwaona east coast watoto wa mama wazee was upanga.
 
Back
Top Bottom