Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun

Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun

no k
ni kama east coast na tmk wanaume kabla ya kugawanyika tmk kuwaona east coast watoto wa mama wazee was upanga.
Yaap na hapo ndio Inspector alionekanaga mnafki maana wenzake walijitoa Tmk wanaume na kuanzisha TmK halisi yeye hakutoka mpaka wakamtungia wimbo wa Ndege Tunduni.

Those times when music was real.
 
Tatizo Inspector mmeanza kumjulia kwenye mtoto wa geti kali, enzi hizo nature yupo kwenye game kitambo sana,

Anyway pengine ushabiki ila kwangu me ni nature kwanza.

Kwa kutoka inspekta alianza kiukwelu ila kwa kukimbiza huko temeke uswahilini wenyewe wakijita walumendago by then, nature alikua mkali balaa ndo maana alikua anaombwa featuring nyingi kabla mwenyewe hajatoka..
 
huyu jamaa nakumbuka enzi nipo form one 2001 alikuwa ndio kama diamond wa bongo fleva sasa hivi
Mkuu hongera 2001 uko form I wakati umezaliwa 1990[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Screenshot_20180422-223733.jpg
 
Gangwe mobb album
1.simulizi la ufasaha
Ilibeba vibao
Mtoto wa geti kali 1&2
Tatizo noti feat mr paul
Stata
Vidonge vyao feat nasma hamis
Ngangali
Nk

Nje ndani album
-asali wa moyo 1&2
-nje ndani
 
Ukisikiliza ile ngoma ya Mtoto wa geti kali ndo utajua huyu jamaa ni genius.

!
!
Mtoto wa Get Mablet Mambo Zake Vibody tigty Ana mandhari ya Kimis nywele mithili ya Jenifa lopez

Baadae Kidogo

Cheki mtoto alivyojaza jazia Kafunga fungafunga Shia Guu la beer

Baadae Kidogo

Maji ya Kunde Kaenda Hewani Sekunde...

Baadae Kidogo

Chotara

Sijui Alikuwa anaimba vitu gani huyu mtu
 
Mistari ya shombo za kitaa,, aisee namkubali sana inspekta haroun pamoja na nature. Kuna vimaneno vya uswahilini na vya kihuni huni yani ile ki rap katuni. This was one of the realest era of bongo flava music maana vitu viliimbwa vya ukweli kabisa.
 
Yaap na hapo ndio Inspector alionekanaga mnafki maana wenzake walijitoa Tmk wanaume na kuanzisha TmK halisi yeye hakutoka mpaka wakamtungia wimbo wa Ndege Tunduni.

Those times when music was real.
Inspector hajawahi kuwa member wa Tmk wanaume family, yeye alijiunga wanaume halisi hata hiyo ndege tunduni hakutungiwa yeye pia kwanza naye pia kaimba kwenye hiyo ngoma
 
Kwa mnao fuatilia bongo fleva toka kitambo nadhani mtakuwa mnamkumbuka sana huyu jamaa.
Haroun Rashid Juma Kahena.Almaarufu kama Inspector Haroun aliteka sana soko la muziki wa Bongo fleva miaka ya 2000 mwanzoni.
Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun kwenye muziki wa Bongo Fleva
alikuwa mwanamziki wa kawaida tu.. usimpaishe
 
Kwa mara ya kwanza Nature kasikika kwenye "Mtulize" mabaga fresh

Hapana ni kigetogeto na king Sapeto halafu nature akaja kuirudia mwenyewe tena hiyo kigetogeto kama nyimbo yake na kuleta sintofaham.. sapeto alilalamika sana kuibiwa nyimbo yake
 
!
!
Mtoto wa Get Mablet Mambo Zake Vibody tigty Ana mandhari ya Kimis nywele mithili ya Jenifa lopez

Baadae Kidogo

Cheki mtoto alivyojaza jazia Kafunga fungafunga Shia Guu la beer

Baadae Kidogo

Maji ya Kunde Kaenda Hewani Sekunde...

Baadae Kidogo

Chotara

Sijui Alikuwa anaimba vitu gani huyu mtu

Baadae kidogo binti huyu MTANASHAATI.. ili mradi tu vina vitimie hata kama havina maana.. labda ndo sababu wakaiita rap katuni
 
Inspector hajawahi kuwa member wa Tmk wanaume family, yeye alijiunga wanaume halisi hata hiyo ndege tunduni hakutungiwa yeye pia kwanza naye pia kaimba kwenye hiyo ngoma
Ndege tunduni ile nyimbo alitungiwa Said Fella wakisema anawanyonya, kutoka kundini ndiyo wakaimba wao wajanja wamekimbia.

Ukifuatilia kwenye video kuna bango limeandikwa 'Kitambi si cheo' ni dongo kwa Fella.

Huyo jamaa kamtaja Inspekta kizazi cha juzi itakuwa
 
we mshabiki umepoteza kumbukumbu inspector hajawai kujiunga tmk wanaume..

by 2001 juma nature hakuwa na nyimbo yake mwenyewe.. alitamba na kigeto geto ambayo alishirikishwa na king sepeto.. maskin jeuri alishirikushwa na manduli mob, mtulize alishirikishwa na mabaga fresh..

nature alianza tamba kwa kushirikishwa kabla hajatoa nyimbo yake mwenyewe

Yaap na hapo ndio Inspector alionekanaga mnafki maana wenzake walijitoa Tmk wanaume na kuanzisha TmK halisi yeye hakutoka mpaka wakamtungia wimbo wa Ndege Tunduni.

Those times when music was real.
 
Ndege tunduni ile nyimbo alitungiwa Said Fella wakisema anawanyonya, kutoka kundini ndiyo wakaimba wao wajanja wamekimbia.

Ukifuatilia kwenye video kuna bango limeandikwa 'Kitambi si cheo' ni dongo kwa Fella.

Huyo jamaa kamtaja Inspekta kizazi cha juzi itakuwa
Sure, ingawa sio fella directly mana Fella alisimama kama mwenye ndege mana yeye ndo alikuwa boss, ndege tunduni walikuwa ni kina chege, Kr, Temba, na washkaji wengine waliobaki kwenye kundi wakifugwa na fella, ukisikiliza vizuri sehemu aliyoimba Juma nature unaweza Pata direct message. Kr badae alijitoa akaenda wanaume halisi
 
Tatizo Inspector mmeanza kumjulia kwenye mtoto wa geti kali, enzi hizo nature yupo kwenye game kitambo sana,

Anyway pengine ushabiki ila kwangu me ni nature kwanza.
Awo wote wawili nawajua toka wanaanza mziki. Kwa kifupi wewe ndo umewajua juu juu tu
 
Sure, ingawa sio fella directly mana Fella alisimama kama mwenye ndege mana yeye ndo alikuwa boss, ndege tunduni walikuwa ni kina chege, Kr, Temba, na washkaji wengine waliobaki kwenye kundi wakifugwa na fella, ukisikiliza vizuri sehemu aliyoimba Juma nature unaweza Pata direct message. Kr badae alijitoa akaenda wanaume halisi
Siyo KR ni mzimu ndiyo huyo alisemwa mabawa yalikuwa madogo, alipotoka akabanwa na mlango. KR hadi nyimbo ya Dar mpaka Moro inatoka yupo bado.

Kiujumla sababu ya wao kuondoka, ndiyo maudhui ya nyimbo inamlenga Fella ndo chanzo.
 
Back
Top Bottom