Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Huyu jamaa alifanya wazaz wanipeleke boarding private nilipomaliza st 7....ingawa nilifaulu kwenda azaboy.....sabab nilikua vzur sana class halaf nilikua nashinda redion kukariri mistar ya huyo bwana..sisomi kabisa..ila nilikua nawakimbiza vilevile class...Yeketee mambo pye yebo yebooo!! Acha kuchonga ngega tuliza kipago Zay b Yuko gado...Ni gado....[emoji441][emoji445]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Ndege tunduni ilikuwa dongo kwa Mkubwa Fela baada ya Nature na crew yake kujitoa tmk wanaume family iliyokuwa na kina Temba na ChegeNdege tuInspector hajawahi kuwa member wa Tmk wanaume family, yeye alijiunga wanaume halisi hata hiyo ndege tunduni hakutungiwa yeye pia kwanza naye pia kaimba kwenye hiyo ngoma
Hio ndio ilikuwa Tabia yangu enzi zile yaani nikitoka shule ty Niko redio nakariri mistari .Huyu jamaa alifanya wazaz wanipeleke boarding private nilipomaliza st 7....ingawa nilifaulu kwenda azaboy.....sabab nilikua vzur sana class halaf nilikua nashinda redion kukariri mistar ya huyo bwana..sisomi kabisa..ila nilikua nawakimbiza vilevile class...
Huyu anayekataa atakuwa mtoto wa miaka ya 2000Ngoja fans wake waje
Tatizo Inspector mmeanza kumjulia kwenye mtoto wa geti kali, enzi hizo nature yupo kwenye game kitambo sana,
Anyway pengine ushabiki ila kwangu me ni nature kwanza.
John Dilinga Matlou(DJ JD) alikuwa anawatoa wasanii enzi hizo 97/98 kwenye Dj show akiwa na Sostenes Ambakisye Sos B.
Namkumbuka Mr Four Wheel na Sharp Shooters - Ubandidu hawa walitoa single moja tu wakapotea....Ambaye anawajua hao wasanii basi atakuwa anajua mziki.