Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun

Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun

Yeketee mambo pye yebo yebooo!! Acha kuchonga ngega tuliza kipago Zay b Yuko gado...Ni gado....[emoji441][emoji445]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa alifanya wazaz wanipeleke boarding private nilipomaliza st 7....ingawa nilifaulu kwenda azaboy.....sabab nilikua vzur sana class halaf nilikua nashinda redion kukariri mistar ya huyo bwana..sisomi kabisa..ila nilikua nawakimbiza vilevile class...
 
Ndege tuInspector hajawahi kuwa member wa Tmk wanaume family, yeye alijiunga wanaume halisi hata hiyo ndege tunduni hakutungiwa yeye pia kwanza naye pia kaimba kwenye hiyo ngoma
Ndege tunduni ilikuwa dongo kwa Mkubwa Fela baada ya Nature na crew yake kujitoa tmk wanaume family iliyokuwa na kina Temba na Chege
 
Huyu jamaa alifanya wazaz wanipeleke boarding private nilipomaliza st 7....ingawa nilifaulu kwenda azaboy.....sabab nilikua vzur sana class halaf nilikua nashinda redion kukariri mistar ya huyo bwana..sisomi kabisa..ila nilikua nawakimbiza vilevile class...
Hio ndio ilikuwa Tabia yangu enzi zile yaani nikitoka shule ty Niko redio nakariri mistari .

Deiwaka show ,Uhuru fm chini ya udhamini wa maji ya uhai[emoji1][emoji1]

Na clouds fm top 20

Akina dj venture,dj skillz ,mully b ,dj Nelly ,,Nani zaidi ya radio one

Acha tu that was the golden era of bongo flava

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Inspector ana uandishi wa kipekee sana, na ukiwa unaufahamu wa mambo mengi ndo utamuelewa vizuri huyu jamaa.
Na ni story teller mzuri sana.
 
Mara vikaanza viboko,bakora,stick,michalazo.
Beef cow kitimoto pork,kwenye friji friza viminika vya kumwagililu mpaka kusaza.
mtoto bambadi,colored,uso soft usio chunusi,natural color,chotara,mg'avu ng'avu ,maji ya kunde kaenda hewani sekunde 😀 😀 😀 😀.
Kajazia hajakubwa,bambataa,taarabu anayo.

Inspector Haroun alikuwa anapenda sana kurudia neno moja katika versions nyingi.
 
Tatizo Inspector mmeanza kumjulia kwenye mtoto wa geti kali, enzi hizo nature yupo kwenye game kitambo sana,

Anyway pengine ushabiki ila kwangu me ni nature kwanza.

John Dilinga Matlou(DJ JD) alikuwa anawatoa wasanii enzi hizo 97/98 kwenye Dj show akiwa na Sostenes Ambakisye Sos B.

Namkumbuka Mr Four Wheel na Sharp Shooters - Ubandidu hawa walitoa single moja tu wakapotea....Ambaye anawajua hao wasanii basi atakuwa anajua mziki.
 
Namjua yule jamaa, kulikuwa na demu mimi namtokea enzi hizo, akaja kukutana na Mr. Four wheels akaenda nae Jolly Club akaanza kumuimbia Bongo fleva, ukichanganya na hilo jina lake demu akajikataa, akaja kuniambia yule jamaa bado makuzi. Nakumbuka baadae alitaka kugeukia Gospel huko ndio akapotea mazima
 
Back
Top Bottom