Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun

Mi mwenyewe ingawaje nilikuwa kiumeni camp (minus makundi) lakini tangu mwanzo nilijua mbele ya Darubini Kali tusingechomoka unless kuwe na figisufigisu
Ila jamaa naye katudanganya, kwenye yale mashindano Inspector hakuwa na influence yoyote, maana kulikuwa na vichwa vinaandika hatari sio mistari yake ya kuungaunga. Watu waliokuwa tishio ni Profesa Jay, SoloThang na Afande mwenyewe
 
Hapana sidhani kama alikua juu zaidi ya Sir Nature, nijuavyo walikua wanashindana na kupigana vijembe mpaka aliposalimu amri na kufanya collabo ya Mzee wa Busara remix.

Jamani i miss Mzee wa Kibla, where is he?
yupo mbagala kibulugwa
 
Hapana sidhani kama alikua juu zaidi ya Sir Nature, nijuavyo walikua wanashindana na kupigana vijembe mpaka aliposalimu amri na kufanya collabo ya Mzee wa Busara remix.

Jamani i miss Mzee wa Kibla, where is he?
Nature hata akae miaka 30 bila kutoa wimbo, ubora wake uko pale pale, mimi nikikuta diamondi anafanya shoo bure mlimani city hata siwezi kusimama kumshangaa, ila sasa Nature awe dar live na hili game baba ake!!! Hatari tupu.

Anyway niko nje ya mada kdg, Ispector alisumbua kwa wakati wake ila sidhani kama aliwahi kusumbua kihivyo hadi kuwapoteza kina prof jize, dula soo, mnyalu make t, dully, TID, walikuwa level sawa tu, aliyesumbua baadae alikuwa Mr. Nice
 
Naona wadau wanajaribu kumuoverrate Inspekta[emoji16], ni kweli alisumbua sana na wimbo wake Mtoto wa Geti kali but there was no way akatangaza ufalme dhidi ya watabe waliokuwepo enzi hizo kama Profesa Jay, Dudubaya, Nature, SoloThang,GK, n.k sema kila mmoja alikuwa na mawe yake yanayosumbua, hakukuwa na mfalme. But he was one of the best kwa miaka kati ya 2001 hadi 2003
 
...Kwa kumpenda mtoto wa kikhalat, bambadi mweusi uso soft usio chunusi, natural colour chotara, mrefu mng'afung'afu maji ya kunde, kenda hewani sekunde, kwao obey oysterbay masaki binti huyu mtanashati...

!
!
Kaka Huyu Mtoto Wa Geti Alikuwa Shida
 
ubarikiwe popote ulipo

Mzee wa busara bila shaka ilikua nyimbo ya nature babu alishirikishwa kwenye remix tu
Yeah sure sema babu alitambaa nayo kama ya kwake vile....nakumbuka ilikuwa ikipigwa usiku wa manane redio one stereo chini ya Kwa fujo Djs
 
Yaap na hapo ndio Inspector alionekanaga mnafki maana wenzake walijitoa Tmk wanaume na kuanzisha TmK halisi yeye hakutoka mpaka wakamtungia wimbo wa Ndege Tunduni.

Those times when music was real.
Inspector hajawahi kuwa ktk kundi la TMK wanaume.Kabla ya hapo walikuwa family moja na Sir Nature,Mabaga fresh ya warumendago family.
 
Nature ni 'Chorus killer' acha avume kwa kushirikishwa. Hadi leo hii sijaona aliyeweza kumfikia kwenye chorus, ukizubaa mwenye nyimbo anapotezwa.

Chorus killer alikuwa Q Chief a.k.a Savimbi,baadae nature akaja kupewa shavu zaidi na media.Kama unakumbuka nyimbo ya kwanza Q Chief kushirikishwa,ilikuwa ya kundi moja linaitwa Mzimuni family.

Chorus ni hii ya Q Chief:
Kupiga debe kwangu ilikuwa poa,
Fani ktk maisha ikaja kuniokoa
 
Nature ni 'Chorus killer' acha avume kwa kushirikishwa. Hadi leo hii sijaona aliyeweza kumfikia kwenye chorus, ukizubaa mwenye nyimbo anapotezwa.

Chorus killer alikuwa Q Chief a.k.a Savimbi,baadae nature akaja kupewa shavu zaidi na media.Kama unakumbuka nyimbo ya kwanza Q Chief kushirikishwa,ilikuwa ya kundi moja linaitwa Mzimuni family.

Chorus ni hii ya Q Chief:
Kupiga debe kwangu ilikuwa poa,
Fani ktk maisha ikaja kuniokoa
 
Yeah sure sema babu alitambaa nayo kama ya kwake vile....nakumbuka ilikuwa ikipigwa usiku wa manane redio one stereo chini ya Kwa fujo Djs
Ya kwanza alifanya Nature na KR ikafanya vizuri kiasi, ilipoachiwa Remix ya Inspecta ile OG ikasahaulika kabisa. Ukisikia tu OHoo HOoo... (Sauti ya Inspekta[emoji16]) unajua nini kinafuatia.
 
Nature alimtupa mbali sana babu.
Nature alikuwa kifaa.alijaza siku ile anazindua UGALI
Kwa mara ya kwanza nakanyaga ardhi ya Mbagala viwanja vya Dar live ilikua sababu ya show ya Nature, aiseee kuna mjinga akatangaza eti Nature hayupo basi ilitokea bonge la fujo mpaka akapanda jukwaani kabla ya muda wake kusalimia mashabiki ndio watu wakatulia.

My fav artist of all the time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…