kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Nature ana moyo wa ajabu mno, aliliona hilo mapema kisa yeye ana jina kubwa angetumika yeye huku waliyobaki wakisota. Hakutaka mtu apoteze kipaji chake, ndo maana akajitoa kuwapa nafasi
Kati ya watu wanaopaswa kumshukuru nature ni huyu Chege maana alikua keshapoteza dira kbs haeleweki yupo manyema family au wapi akawa anamfuata nature kila aendapo.. dah maisha haya...