Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

sasa ww mwenye kazi unatafta nn kwa siredi ya asie na kazi
 
ila nmeamin uspoenda na mda sokoni utachuja tu,sahara media hawaendi na mda kabisa wanafkr hii n miaka ya analog

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sijaona JB Juma balagaza ilA umejitahidi sana afu kulikua na mmoja jina la Baba yake alikua anaitwa mfinanga(ke) na mwingine K2 the B Kill boy Salumu sandu
 
Mimi namkumbuka Glory Robinson mtoto wa mama sabuni sauti yake ilikuwa inanikosha hatari
Mkuuu..... Alikua ananikonga sana yule mdada.....
Mtoto wa Arusha......

Sasa hivi Sijui yuko WAP.....?
Angekuja tu town kwa sauti ile bado ananafasi sana kwenye midia........
 
Mkuuu..... Alikua ananikonga sana yule mdada.....
Mtoto wa Arusha......

Sasa hivi Sijui yuko WAP.....?
Angekuja tu town kwa sauti ile bado ananafasi sana kwenye midia........
Yani alikuwa ana sauti na kicheko ikifika showtime sibanduki redioni akiwa na kidbway mwili mdogo sauti zege enzi hizo.
 
Thanx 4 reminding those people ila Mkuu soggy dogg Na anselm ngaiza Si mtu mmoja?au ulikusudia nini mkuu?
 
Huu Uzi umenikumbusha mbali sana......

Kidbway na Kipindi chake cha Wikend fever ulikua unitoi......

Kiss Fm , Kiss FM D7, Sherry, DJ Maliz ni Balaa ile show.......

Sintosahau kilikua kinanipa wakatimgumu maana ndo mida ya Church iyo......

Nikiamka asubui nkiskia Kimziki Cha magazetini na jua nshachelewa Shule.
Apo Alikuwepo Hamis Damumbaya..........

Lawena Nsonda kutoka Makongoros Chunya......

Hi redio ilianza kupotea hewan na hata ukiipata unaipatata kwa chenga chenga baada ya kuzuka redio nyingi nyingi, nazani mwinhiliano wa mawimbi ulichangia ikapoteza wateja.
 
D7 na sharbano yule demu naye sijui aliishia wapi....
Kid alianza zingua alipoanza mmanage husein machozi kila ngoma inatoka leo ijumaa unaikuta top ten.
akawa anagonga ngoma nying toka studio yake na kwa ambha kwakuwa ambha alikuwa kama anampa support kidbway sometimes kwenye beat na collabo baina ya wasanii wa kid na wa ambha
 
Kulikuwa na Mzee sky walker ijumaa usiku anawawekea watu beat wanapiga simu wanachana na yeye anachana humo studio.
dah that was then when blackberry and apple were fruits.... miss those dem days
 
Huu Uzi umenikumbusha mbali Sana'a wakat huo nikiwa Moshi imenibidi niwapigie washkaji tukumbushane enzi hizooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…