Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

dah roy mlaliki maganga sijui alienda wapi....kuna watu wanajua hizi fani RFA those days dah
 
DJ Chrismac Kiss FM
Stive kabuye
John karani
Boly b the pilot
D-7
Jeff Jerry
Natasha yule mzungu na
Sheiza mwingila izi zilikua number Chafu pale kiss FM
Doh john karani, alikua kwenye kipindi cha sweet ragee kila siku ijumaa pale kiss fm. Nilikuwa sikosagi ichi kipindi ata iweje
 
We kipindi hiko uko primary.......umechanganya huyo aliitwa Vivian Tillya mpenzi wake Complex walifariki kwa ajali ya gari,Irene ni mdogo wake kaanza si muda mrefu kihivyo
sawa sawa mkuu asante kwa kunirekebisha!

Niko std 6 hapo sijui hata huyo mdada ana mahusiano na nani wala nini,

Just enjoying good things from them...
 
Aiseeeeeee kula tano ulieandika hii thread. Acha tuuu.......kiss fm kuna kipindi kilikuwa kinaitwa Kiss Collabo Show ni hatari....

Kingine kilikuwa kinaanza saa kumi na moja jioni baads ya taarifa ya habari ya BBC mpaka saa mbili usiku

Hapa ilikuwa inapigwa bongo fleva balaaa. Utaskia jingo zao kiss fm kiss fm chwiii chwiiii
 
Wewe uliyeanzisha hii topiki huna kazi za kufanya zaidi ya kufuatilia majina ya watangazaji? wamekusaidia nini wewe kama wewe binafsi? Unapoteza muda wako bure kwa mambo ambayo hayana faida katika maisha yako. Pole sana.
Wewe Shoga Nini? Maisha yangu na Yako hayalingani na yako njoo nkuajiri we mkundu wako umekuwasha umeona uccoment hapa unapakuliwa nini Acha ushoga....hii ni Jamii Forums Jina Linajieleza sasa wewe Ushoga wako unauleta hapa....pita hivi haujalazimishwa Kuccoment ni kihere here chako
 
RFA ni funga kazi ..ni kiwanda kizuri sana cha kuzalisha watangazaji
RFA WALIKUWA VIZURI SANA Kkwa vipindi na watangazaji kipindi cha nyuma lakini sasa hivi ni majanga '' lazima wajipange kwani zamani hapakuwa na ushindanikama sasa pia watu wengi now wanatumia mitandao ya kijamii kwa kasi kubwa kiliko radion
'#long live jamii forums'
 
Wewe Shoga Nini? Maisha yangu na Yako hayalingani na yako njoo nkuajiri we Makalio wako umekuwasha umeona uccoment hapa unapakuliwa nini Acha ushoga....hii ni Jamii Forums Jina Linajieleza sasa wewe Ushoga wako unauleta hapa....pita hivi haujalazimishwa Kuccoment ni kihere here chako

Ha ha ha ha ha ha ha. Nimekugonga kwelikweli. Ungeanzisha topic ya maana usinge-react namna hiyo. Lakini kwa sababu umejiona huna mchango wa maana hapa JF, ndiyo maana umeamua kuja na matusi. Haikusaidii kitu. Jambo la msingi ni kujifunza kwa wenzako kuanzisha mada zenye mantiki. Tumechoka kusoma utumbo. Pole sana, dawa imekuingia, tulia kimya.
 
mbeya radio zetu tulikuwa tunapenda kiss fm na radio free siasa pia imechangia kuvimaliza vituo hivi.
 
30. Thobias Ngaraguru (Tobby The Flash) - KISS FM

huyo alikuwa balaa usiku kuanzia saa nne
 
Wewe uliyeanzisha hii topiki huna kazi za kufanya zaidi ya kufuatilia majina ya watangazaji? wamekusaidia nini wewe kama wewe binafsi? Unapoteza muda wako bure kwa mambo ambayo hayana faida katika maisha yako. Pole sana.
Mtu anapoanzisha mada inaweza kuwa isiwe na faida kwake likini ikawa na faida kwa wengine. hebu fuatilia reactions za watu juu ya huu uzi ndipo utagundua watu hawana shida na hawa watangazaji ila idadi ya wachangiaji wanakumbuka zaidi maisha yao ya kale. Think beyond what you said.
 
Back
Top Bottom