Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Kuna jamaa wa kiss FM aliitwa Joachim Mwengaluguru mkali wa rap na ngeli iliyosmama sjui yko WAP,kwa kwel hawa jamaa walinisaidia kias kikubwa kjua lugha ya queen Eliza
Nadhani alirudi kwao Zambia kama sijakosea
 
Huyu si ndio Alex Ngusa Matarange
Alex lazaro Ngusa Matarange
Hapana umechanganya majina ni watu wawili tofauti.......Lazaro Matarange....huyo alikuwa na sauti nzito kuzidi ya Alex Ngusa......huyu Ngusa yupo Metro Fm ya Mwanza
 
-Sylvester Bahati (alikuwa na kipindi chake cha Soul Food Saa 6)
-Toby the Splash
-Bori B. The pilot
-Joakim Mungaluguru
Dj Cutter, Dj DVD, hawa walikuwa wanatisha sana pale Kiss. Kiingereza kilichonyooka, sauti nzuri na ubunifu wa kipekee. Ila baada ya kuajiriwa akina..wakabadilisha vipindi vya jioni vikawa vya Kiswahili.
 
Wewe uliyeanzisha hii topiki huna kazi za kufanya zaidi ya kufuatilia majina ya watangazaji? wamekusaidia nini wewe kama wewe binafsi? Unapoteza muda wako bure kwa mambo ambayo hayana faida katika maisha yako. Pole sana.
 
Bwana eeeh enzi hizo Kiss fm saa nane na robo kila jumamosi bwana sisi wazee wa mayenu ilikuwa ngumu sana kubanduka radion na DJ MALIS hakuna mtangazaji ni ngoma juu ya ngoma break ilikuwa ni tangazo moja tu la Celtel.
Duuuuh!
 
Back
Top Bottom