Nadhani alirudi kwao Zambia kama sijakoseaKuna jamaa wa kiss FM aliitwa Joachim Mwengaluguru mkali wa rap na ngeli iliyosmama sjui yko WAP,kwa kwel hawa jamaa walinisaidia kias kikubwa kjua lugha ya queen Eliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani alirudi kwao Zambia kama sijakoseaKuna jamaa wa kiss FM aliitwa Joachim Mwengaluguru mkali wa rap na ngeli iliyosmama sjui yko WAP,kwa kwel hawa jamaa walinisaidia kias kikubwa kjua lugha ya queen Eliza
Matarange yuko wapi aisee?rfa miaka ya 2000 ilitisha enzi za double g na lazaro matarange
Hapana umechanganya majina ni watu wawili tofauti.......Lazaro Matarange....huyo alikuwa na sauti nzito kuzidi ya Alex Ngusa......huyu Ngusa yupo Metro Fm ya MwanzaHuyu si ndio Alex Ngusa Matarange
Alex lazaro Ngusa Matarange
Ni mtu mmojaHapo sijaelewa kwani sogy dogy na anzleim ngaiza wapo tofauti si huyohuyo mtu mmoja
Clouds fm-power breakfast.Watangazaji walikuwa poa fred waaaa yupo yupo saa hz
Sky Walker ni Fredrick Bundala yuko Bongo5.comSahara imepitisha watu wengi sana na waliokuwa na majina makubwa sana. Hivi Muhksini Mambo ndiye alikuwa na a.k.a ya "SKY WALKER" ama nani?
Yeah!. Muhksin Mambo alikua anajiita MC Stopper,kwa sasa yupo tv1Okay, ni kweli umenikumbusha, Muhksin Mambo alikuwa na a.k.a MC STOPPER, kama sikosei. Wapi Kidbway???
Duuuuh!Bwana eeeh enzi hizo Kiss fm saa nane na robo kila jumamosi bwana sisi wazee wa mayenu ilikuwa ngumu sana kubanduka radion na DJ MALIS hakuna mtangazaji ni ngoma juu ya ngoma break ilikuwa ni tangazo moja tu la Celtel.