Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Kipindi hiki rfa na radio one ndio zilikuwa radio pekee zilizo ikuza bongo flavour hii tunayoiona leo yaani hizi redio zikikupiga pin ujue umekwaisha kama wewe ni msanii,alafu walikuwa Wana connection ya moja kwa moja na producers wakubwa kama akina master jay,pfunk nk yaani pini likiiva tuu hizi redio wanaenda kulichukua then wadau tunapewa burudani
 
JOAN ITANISA sijui yupo wapi huyo dada alikuwa kwenye kipindi cha UREMBO na mara nyingi taarifa ya Habari.
 
Kwangu Radio Free Africa ndiyo Radio Bora katika eneo zima la maziwa makuu Licha ya kuwa wameflop sana miaka hii. Kiss fm pia nawakubali japo wameiharibu sana
 
Steve Moi Mchongi....Fredwa,Rahabu Fredwaa
 
Nikikuwa nimekariri vipindi vyote kichwani siku 7 za wiki,haitotokea tena generation ya namna hii, Ukiza ujibiwe j4 saa 3 usiku baada ya hapo ni bolingo time, yan huchoki kusikiliza, show time cgini ya kid bway na mtt wa mama sabuni, bunge la wasikilizaji chini ya Anko Sam na Beatrice,mambo mambo chini ya Juma Baragaza
Haitotokea tena kwa radio yyte kufikia level ya RFA ya miaka ya 2000, hata Fredwa wa clouds si yule wa RFA, Steve Moyo huwa namsikia akichambua mechi za ligi kuu Azam Tv.
 
Simu hizi inatangaza kwa mujibu wa maagizo toka Lumumba sina muda wa kuisikiliza!.....
 
Ongeza na Roy mlaliki maganga sitasahau ya jumapili + na ule usiku wa mahaba jamaa alikuwa njema sana
 
now kuna mbudu the boss ni bonge la mtangazaji na baadhi ya hao wapo
 
now kuna mbudu the boss ni bonge la mtangazaji na baadhi ya hao wapo
Mkuu, huyu mbudu the boss si ndo anatangaza kipindi cha mambo mambo kuanzia saa 16:00hrs? Kuna dawa nilisikia anatangaza ya madonda ya tumbo, nahitaji kufaham namna ya kuipata.
 
Mkuu, huyu mbudu the boss si ndo anatangaza kipindi cha mambo mambo kuanzia saa 16:00hrs? Kuna dawa nilisikia anatangaza ya madonda ya tumbo, nahitaji kufaham namna ya kuipata.
mmmh mjomba hlo hata cfaham
 
Mkuu, huyu mbudu the boss si ndo anatangaza kipindi cha mambo mambo kuanzia saa 16:00hrs? Kuna dawa nilisikia anatangaza ya madonda ya tumbo, nahitaji kufaham namna ya kuipata.
Sikiliza kuanzia hio mida Kuna namba za wauzaji wa hio dawa huwa anataja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…