Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Sauti ya simbaLazaro matarange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sauti ya simbaLazaro matarange
Jana nilimsikia DW akiongelea kifo cha GAMBA mtangazaji mwenzie RFA. Kwangu ilikuwa mara ya kwanza kumsikia Tangu 2006Asia Mohamed yuko wapi jamaniii
Steve Mchongi sijui yuko wapi aisee!Steve Moi Mchongi....Fredwa,Rahabu Fredwaa
Rahabu alikuwa mke wa Fredwaa, nadhania yuko analea familiaSteve Moi Mchongi....Fredwa,Rahabu Fredwaa
Rahab na Steve Mchongi wapo AzamRahabu alikuwa mke wa Fredwaa, nadhania yuko analea familia
na kina basu basanga basuNakumbuka enzi hizo unapiga simu za salamu , wakati huo hakuna airtel wala voda kuna tritel na mobitel tu.
Sasa watuma salamu maarufu wakina Pagija wa pagija.
Ndo yeye,alitokea victoria fm ya musoma yeye na sky walker wakaja RFANaomba kujua huyu malegesi ndio huyu kipindi fulani alikuwa EBONY YA IRINGA au?
Ongeza na Roy mlaliki maganga sitasahau ya jumapili + na ule usiku wa mahaba jamaa alikuwa njema sanaNikikuwa nimekariri vipindi vyote kichwani siku 7 za wiki,haitotokea tena generation ya namna hii, Ukiza ujibiwe j4 saa 3 usiku baada ya hapo ni bolingo time, yan huchoki kusikiliza, show time cgini ya kid bway na mtt wa mama sabuni, bunge la wasikilizaji chini ya Anko Sam na Beatrice,mambo mambo chini ya Juma Baragaza
Haitotokea tena kwa radio yyte kufikia level ya RFA ya miaka ya 2000, hata Fredwa wa clouds si yule wa RFA, Steve Moyo huwa namsikia akichambua mechi za ligi kuu Azam Tv.
now kuna mbudu the boss ni bonge la mtangazaji na baadhi ya hao wapoWafuatao ni watangazaji wa Radio Free Africa (RFA). Nilikuwa shabiki mkubwa wa RFA kwa maana ilijitahidi kuziba mapungufu ya RTD! Sasa hivi sera za radio hii zimebadilika sana na kukosa mwelekeo, kimsingi imekuwa kama zile za wilayani ambazo watangazaji wake wengi ni ma DJ! Nimebaki nasikiliza 'Watanzania Tuzungumze Magazeti' japo nalo kuna Watangazaji wana UTOTO mwingi na wanapoteza muda mwingi kujiongelesha badala ya kutusomea magazeti! Ongeza na wewe majina niliyoyaacha!
1. Samweli Kiama
2. Rahabu Fungo (Fred) - Search Line
3. Prince Baina Kamukulu - Nyimbo za Kihindi, Matukio
4. Jose Kaila - Michezo
5. Baruan Muhuza - Michezo
6. Jumaa Ahmed Baragaza - Mambo mambo, Je huu ni UUNGWANA
7. Deo Kaji Makomba - Michezo, Jambo Afrika
8. Zubeir Msabaha - Bolingo Time
9. Deo Kududuye
10. Basil Mbakile
11. Paul James
12. Godwin Gondwe
13. Taji Liundi
14. Jacob Usungu - Muziki wa zamani, Roving DJ
15. Fredrick Bundala (Sky Walker)
16. Samada Maduhu
17. Steve Moyo Mchongi
18. Gabriel Zacharia
19. Gabriel Yotham
20. Roy Mlalike Maganga -Sitasahau
21. Wambura Mutani - Je huu ni UUNGWANA?
22. Stella Setumbi
23. Charles Mobea
24. Soggy Doggy
25. Samadu Hassan - Habari za Kimataifa
26. Mukhsin Mambo
27. Yahaya Mohammed Kimaro
28. Rankim Ramadhan
29. Thobias Chewe - KISS FM
30. Thobias Ngaraguru (Tobby The Flash) - KISS FM
31. Ezben the Rocker - KISS FM
32. John Kalani (JK) - KISS FM
33. Joan Itanisa
34. Irene Mwakalinga
35. Yvonne Kamuntu
36. Glorie Robinson Sabuni
37. Kid Bway
38. Borry Bwana - KISS FM
39. Leornad Mubali
40. Marko Munthali
41. Paul Mabuga
42. Malegesi Grayson
43. Lazaro Matalange
44. Alex Ngusa
45. Asia Mohamed
46. Jane Mukama
47. Mkamiti Juma
48. Enock Shilatu
49. Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba
50. Peter Omari
51. Ahmed Kipozi
52. George Vincent Sukari
53. Rosemary Mukangara
54. Beatrice Nyerere
55. Hamis Dambaya
56. Egbert Mkoko
57. Neville Meena
58. Stive Kabuye
59. Deborah Mpagama
60. Beatrice Rabach
61. Anselm Ngaiza
62. Thom Chilala
63. Lady the Butterfly - KISS FM
64. Fred Fidelis (Fredwaa) - Je huu ni UUNGWANA, Sindano tano za moto na Muziki wa Reggae
Mkuu, huyu mbudu the boss si ndo anatangaza kipindi cha mambo mambo kuanzia saa 16:00hrs? Kuna dawa nilisikia anatangaza ya madonda ya tumbo, nahitaji kufaham namna ya kuipata.now kuna mbudu the boss ni bonge la mtangazaji na baadhi ya hao wapo
mmmh mjomba hlo hata cfahamMkuu, huyu mbudu the boss si ndo anatangaza kipindi cha mambo mambo kuanzia saa 16:00hrs? Kuna dawa nilisikia anatangaza ya madonda ya tumbo, nahitaji kufaham namna ya kuipata.
Kuna namba huwa anataja bahati mbaya sijaishika,hata leo kaitajammmh mjomba hlo hata cfaham
Sikiliza kuanzia hio mida Kuna namba za wauzaji wa hio dawa huwa anatajaMkuu, huyu mbudu the boss si ndo anatangaza kipindi cha mambo mambo kuanzia saa 16:00hrs? Kuna dawa nilisikia anatangaza ya madonda ya tumbo, nahitaji kufaham namna ya kuipata.