Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Kipindi hiki rfa na radio one ndio zilikuwa radio pekee zilizo ikuza bongo flavour hii tunayoiona leo yaani hizi redio zikikupiga pin ujue umekwaisha kama wewe ni msanii,alafu walikuwa Wana connection ya moja kwa moja na producers wakubwa kama akina master jay,pfunk nk yaani pini likiiva tuu hizi redio wanaenda kulichukua then wadau tunapewa burudani
 
JOAN ITANISA sijui yupo wapi huyo dada alikuwa kwenye kipindi cha UREMBO na mara nyingi taarifa ya Habari.
 
Kwangu Radio Free Africa ndiyo Radio Bora katika eneo zima la maziwa makuu Licha ya kuwa wameflop sana miaka hii. Kiss fm pia nawakubali japo wameiharibu sana
 
Nikikuwa nimekariri vipindi vyote kichwani siku 7 za wiki,haitotokea tena generation ya namna hii, Ukiza ujibiwe j4 saa 3 usiku baada ya hapo ni bolingo time, yan huchoki kusikiliza, show time cgini ya kid bway na mtt wa mama sabuni, bunge la wasikilizaji chini ya Anko Sam na Beatrice,mambo mambo chini ya Juma Baragaza
Haitotokea tena kwa radio yyte kufikia level ya RFA ya miaka ya 2000, hata Fredwa wa clouds si yule wa RFA, Steve Moyo huwa namsikia akichambua mechi za ligi kuu Azam Tv.
 
Simu hizi inatangaza kwa mujibu wa maagizo toka Lumumba sina muda wa kuisikiliza!.....
 
Nikikuwa nimekariri vipindi vyote kichwani siku 7 za wiki,haitotokea tena generation ya namna hii, Ukiza ujibiwe j4 saa 3 usiku baada ya hapo ni bolingo time, yan huchoki kusikiliza, show time cgini ya kid bway na mtt wa mama sabuni, bunge la wasikilizaji chini ya Anko Sam na Beatrice,mambo mambo chini ya Juma Baragaza
Haitotokea tena kwa radio yyte kufikia level ya RFA ya miaka ya 2000, hata Fredwa wa clouds si yule wa RFA, Steve Moyo huwa namsikia akichambua mechi za ligi kuu Azam Tv.
Ongeza na Roy mlaliki maganga sitasahau ya jumapili + na ule usiku wa mahaba jamaa alikuwa njema sana
 
Wafuatao ni watangazaji wa Radio Free Africa (RFA). Nilikuwa shabiki mkubwa wa RFA kwa maana ilijitahidi kuziba mapungufu ya RTD! Sasa hivi sera za radio hii zimebadilika sana na kukosa mwelekeo, kimsingi imekuwa kama zile za wilayani ambazo watangazaji wake wengi ni ma DJ! Nimebaki nasikiliza 'Watanzania Tuzungumze Magazeti' japo nalo kuna Watangazaji wana UTOTO mwingi na wanapoteza muda mwingi kujiongelesha badala ya kutusomea magazeti! Ongeza na wewe majina niliyoyaacha!
1. Samweli Kiama
2. Rahabu Fungo (Fred) - Search Line
3. Prince Baina Kamukulu - Nyimbo za Kihindi, Matukio
4. Jose Kaila - Michezo
5. Baruan Muhuza - Michezo
6. Jumaa Ahmed Baragaza - Mambo mambo, Je huu ni UUNGWANA
7. Deo Kaji Makomba - Michezo, Jambo Afrika
8. Zubeir Msabaha - Bolingo Time
9. Deo Kududuye
10. Basil Mbakile
11. Paul James
12. Godwin Gondwe
13. Taji Liundi
14. Jacob Usungu - Muziki wa zamani, Roving DJ
15. Fredrick Bundala (Sky Walker)
16. Samada Maduhu
17. Steve Moyo Mchongi
18. Gabriel Zacharia
19. Gabriel Yotham
20. Roy Mlalike Maganga -Sitasahau
21. Wambura Mutani - Je huu ni UUNGWANA?
22. Stella Setumbi
23. Charles Mobea
24. Soggy Doggy
25. Samadu Hassan - Habari za Kimataifa
26. Mukhsin Mambo
27. Yahaya Mohammed Kimaro
28. Rankim Ramadhan
29. Thobias Chewe - KISS FM
30. Thobias Ngaraguru (Tobby The Flash) - KISS FM
31. Ezben the Rocker - KISS FM
32. John Kalani (JK) - KISS FM
33. Joan Itanisa
34. Irene Mwakalinga
35. Yvonne Kamuntu
36. Glorie Robinson Sabuni
37. Kid Bway
38. Borry Bwana - KISS FM
39. Leornad Mubali
40. Marko Munthali
41. Paul Mabuga
42. Malegesi Grayson
43. Lazaro Matalange
44. Alex Ngusa
45. Asia Mohamed
46. Jane Mukama
47. Mkamiti Juma
48. Enock Shilatu
49. Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba
50. Peter Omari
51. Ahmed Kipozi
52. George Vincent Sukari
53. Rosemary Mukangara
54. Beatrice Nyerere
55. Hamis Dambaya
56. Egbert Mkoko
57. Neville Meena
58. Stive Kabuye
59. Deborah Mpagama
60. Beatrice Rabach
61. Anselm Ngaiza
62. Thom Chilala
63. Lady the Butterfly - KISS FM
64. Fred Fidelis (Fredwaa) - Je huu ni UUNGWANA, Sindano tano za moto na Muziki wa Reggae
now kuna mbudu the boss ni bonge la mtangazaji na baadhi ya hao wapo
 
now kuna mbudu the boss ni bonge la mtangazaji na baadhi ya hao wapo
Mkuu, huyu mbudu the boss si ndo anatangaza kipindi cha mambo mambo kuanzia saa 16:00hrs? Kuna dawa nilisikia anatangaza ya madonda ya tumbo, nahitaji kufaham namna ya kuipata.
 
Mkuu, huyu mbudu the boss si ndo anatangaza kipindi cha mambo mambo kuanzia saa 16:00hrs? Kuna dawa nilisikia anatangaza ya madonda ya tumbo, nahitaji kufaham namna ya kuipata.
mmmh mjomba hlo hata cfaham
 
Mkuu, huyu mbudu the boss si ndo anatangaza kipindi cha mambo mambo kuanzia saa 16:00hrs? Kuna dawa nilisikia anatangaza ya madonda ya tumbo, nahitaji kufaham namna ya kuipata.
Sikiliza kuanzia hio mida Kuna namba za wauzaji wa hio dawa huwa anataja
 
Back
Top Bottom