Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Umeona Eeeh hii Timu haitatokea Tena ilinifanya niipende sana RFA
 
mwenye uwezo wa kurudisha Hali anayoipoteza ktk tasnia ya habar n ruge somehow anatetea fan yake
Hata ruge anapotea kdogo kdogo,cloudz ya miaka ya 2007 to 2012 imechange sana,kpnd cha watu kama akna ndege,Arnold,joooooj jokopa mkali wa kuchambua siasa na jamii
 
Hata ruge anapotea kdogo kdogo,cloudz ya miaka ya 2007 to 2012 imechange sana,kpnd cha watu kama akna ndege,Arnold,joooooj jokopa mkali wa kuchambua siasa na jamii
dah! ebhana George Njokopa namkbali sana jamaa yko fiti kiuchambuzi na ana vocal nzuri,level yake sio tz n worldwide
 
Roy maganga yupo wapi???
Enzi ziiile tulikuwa tunapewa vitu mubashara
Nilikuwa form 1-2 enzi hizo..
Asante kwa kumbukumbu
 
DJ John ameki master kipindi vizuri sana cha flash back kilichoazishwa na DJ Jacob Usungu sijui jamaa yuko wapi sasa watu wa enzi hizo wanadai jamaa alipiga kwanja Magnum club kirumba na Deluxe club aisee Ain't no body alikuwa anaipenda sana ya Tina Turner
 
Kwa kweli unakaa unakumbuka unabaki kusikitika maana siku hizi tunaskiliza radio bhasi tu ,was very fun baadaye alikuja DJ Muhksin Mambo wa watu wa 2000s tuliruka disco lake pale Rumours club near Mwanza hotel ile club sitasahau
Sahara imepitisha watu wengi sana na waliokuwa na majina makubwa sana. Hivi Muhksini Mambo ndiye alikuwa na a.k.a ya "SKY WALKER" ama nani?
 
Sahara imepitisha watu wengi sana na waliokuwa na majina makubwa sana. Hivi Muhksini Mambo ndiye alikuwa na a.k.a ya "SKY WALKER" ama nani?
Hapana Muhksini Mambo alikuwa na aka yake nyingine mkuu nimehisahau bila Sky walker ni Fredrick Bundala jamaa anajua sana muziki amejificha bongo5 yaani anakuelezea kitu kwenye muziki unasema yes huyu ni mtangazaji
 
Hawa wote baadhi yao walishatimka mfano Baruan Muhuza na Ivona Kamuntu wapo azam tv, Muksin Mambo yupo TV one, Fredwaa yupo clouds fm, Samadu Hassan bado yupo star tv, Steve moyo Mchonge ni msemaji wa club ya stand united shinyanga, Ahmed Kipozi alikuja kuwa dc, Neville Meena ni kiongoz kwenye jukwaa la waandishi wa habari, Godwin Gondwe ni dc now, Irene Mwakalinga yupo TBC anaripoti kutoka iringa, Paul James yupo clouds fm, Isaac Muyenjwa Gamba yupo Deuschvelle ujerumani
 
Hapana Muhksini Mambo alikuwa na aka yake nyingine mkuu nimehisahau bila Sky walker ni Fredrick Bundala jamaa anajua sana muziki amejificha bongo5 yaani anakuelezea kitu kwenye muziki unasema yes huyu ni mtangazaji
Okay, ni kweli umenikumbusha, Muhksin Mambo alikuwa na a.k.a MC STOPPER, kama sikosei. Wapi Kidbway???
 
Okay, ni kweli umenikumbusha, Muhksin Mambo alikuwa na a.k.a MC STOPPER, kama sikosei. Wapi Kidbway???
Yes sahihi kabisa ,kidbway naye alikuwa bongo5 ila kwa sasa ametoka amehamua kusimamia Tetemesha production kwa ajili ya wasanii bila anadeal na wanao toka sana mwanza na jamaa kilichomfanya kuhama mwanza akivamiwa na jambazi 2010 hivi walimjeruhi vibaya sana nyumbani kwake kiseke so jamaa baada ya kupona aliondoka kabisa Mzee wa kibegi mgongoni
 
Steve Moyo bado yuko RFA ila kwa upande wa Dar,Deo Kaji Makomba ndo msemaji wa chama LA wana bila yuko na kampuni flan mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…