Kingdom Animalia
Member
- Jan 26, 2017
- 63
- 68
- Thread starter
- #81
Umeona Eeeh hii Timu haitatokea Tena ilinifanya niipende sana RFAMkuu hiyo timu uliyoitaja haitakaa itokee tena pale Sahara, walikuwa na mpngilio mzuri wa vipindi na watangazaji waliofit kwenye vipindi vyao. Tangu kipindi cha kwanza asubuhi mpaka cha mwisho usiku ulikuwa ni moto wa kuotea mbali, walijua kucheza na wasikilizaji na walipata wasikilizaji wengi sana. Nadhani kwa kipindi kile KISS FM kilikuwa ndio kituo bora cha burudani Tanzania hususani kwa wasikilizaji waliokuwa wanapenda lugha ya malkia. Mara nyingi nilikuwa naifananisha na KISS FM ya Kenya (Nairobi Fresh), jamaa walikuwa na uwezo na vipaji.