Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Hivi hii Redio itapata mtangazaji kama Ntonto, volt600,000, zuberi Msabaha?

R.I.P kaka Mungu akulaze mahali Pema binguni.

Kwani kabla huyo Marehemu kutangaza hapo Redio RFA na Startv hawakuwakuta waliokuwa wameshaaza kutangaza?
 
Ninao wakumbuka enzi hizo waliokua bora kwangu.

Glory Robinson
Anko Sam
Sandu George
Zuberi Musabaha
Rahabu....
Mtangaziji kipindi cha je huu ni uungwana nimemsahau jina.
 
sawa mkuu walokuwepo ila jiulize walihit km huyu marehem ?

Tatizo ni kuwa juu au ni Kutenda tu vyema katika Vipindi husika? Hivi kuna Watangazaji walioiweka juu RFA na hata Startv kama ' Manguli ' akina Mzee Samadu Hassan na Paul Mabuga?
 
anselem ngaiza aka soggy doggy si ni jina moja hilo alikuwa anatangaza show time
 
Back
Top Bottom