Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Chanzo: Global Publishers

Hii habari ni ya 2010
 

Attachments

  • AstonVilla.jpg
    48.2 KB · Views: 4,081
Huu ugonjwa ni Hatari, sijui kwanini mpaka sasa hauna dawa.
Baada ya diana washaondoka wawili Aisha na Banza .
Abuu yeye alikufa kwa ajali.
Choki, stive nyerere na Hao wengine inawezekana hawana.

choki ameshazika wife wake kwa kuugua muda mrefu na Steve alizika kichanga chake wote nadhani mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…