mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Siwez kuropoka..trust me
Ni ali choki, anahudumiwa kituo cha mwananyamala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwez kuropoka..trust me
Hii story inaukweli...hiyo ni chain ya ngono hapo..kuna mmoja yupo hai bado na nishamhudumia kitengoni...ukimwi unaua na upo....bado bongo muvi na kubadilishana kwao viburudisho
Ni ali choki, anahudumiwa kituo cha mwananyamala
Ni ali choki, anahudumiwa kituo cha mwananyamala
Angetulia tu kuugua si kufa maneno yake ya kujishuku yanaibua maswali.
huu uzi nmeutafuta sanaDuh hatari saan aisee
Yesu kristuchoki ameshazika wife wake kwa kuugua muda mrefu na Steve alizika kichanga chake wote nadhani mwaka jana
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mmmmh wapumzike kwa amani waliotangulia
Eve hiyo pic profile mpya mbona nzuri sana! Hapo ulikuwa wapi!?[emoji13]Mmmmh wapumzike kwa amani waliotangulia
Ilikua September mosi tehEve hiyo pic profile mpya mbona nzuri sana! Hapo ulikuwa wapi!?[emoji13]
hebu acha tamaa wewe hapa tunazungumzia ngoma wewe unaanza kutongoza tena bila aibu ha ha haEve hiyo pic profile mpya mbona nzuri sana! Hapo ulikuwa wapi!?[emoji13]