Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

Nani atapambana nakifo? Hakuna shujaa alietokea tena baada ya Jesus na hata Jesus akija duniani tena hawez kupambana na kifo. So dont worry be happy. Kula bata mpaka wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ARV zinawastiri sana watu,pamoja na uboreshwaji wa huduma za afya,bila hivyo tungekua tunatengana hata kwenye vyombo vya usafiri kwakuogopana kutokana na mnyong'onyeo.

Na hawa akina Harmonize na watu wengine wa calibre yao,wangeingia mjini kwa adabu kama wenzao akina Rayvann walivyoingia nakutulia tuli huku wakijikita kwenye kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom