Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

Kama tuu kuna mmbongo movie mmoja yeye ni bandika bandua juzi ndo kanichosha ame breakup hana mwezi etii katangaza harusi sijui ni stress za uzee au
 
steve nyerere nae hoooi
Kama anaumwa,get well soon.

Nyerere naye ubuyu wa jana yupo hoi kuziiii

Get well soon.



Me nasema ukweli CCM waandae fedha za mazishi ya kada wao Steve nyerere huyu jamaa mwaka huu hamalizi. Kwa hali niliyomkuta na kwa mnyong'onyeo ule hakika haponi.

Nilishawahi kumuona mgonjwa wa "Ngoma" alikuwa amelala anaumwa kwa kumuangalia unaweza kusema haponi lakini hauwezi amini mpaka Leo yupo na anadunda na ukimuangalia unaweza ukasema wewe ambaye mzima ndio umeathirika yeye yupo vizuri,ni miaka kama 12 ishapita.
 
Back
Top Bottom