Euaggelion03
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 722
- 789
List imeongezeka mbona!Kwenye listi amebaki ,Steve, Alichoki, Mr Nice ....vipi jini kabula nae alikatiza kwenye mzunguko wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
List imeongezeka mbona!Kwenye listi amebaki ,Steve, Alichoki, Mr Nice ....vipi jini kabula nae alikatiza kwenye mzunguko wao?
mmm mmefukua hili kaburi,,,,,,hatari sana
Jini nilimkuta Mwanza club ya Diamond pale kona ya Bwiru, kapendeza, mtamu kweli.Nice aliishi kabisa na Jini
Rayvan naye amevamia jiji kale katoto alichozaa nacho naye wale wale unless kama ametulia baada ya kuwa na RayvanARV zinawastiri sana watu,pamoja na uboreshwaji wa huduma za afya,bila hivyo tungekua tunatengana hata kwenye vyombo vya usafiri kwakuogopana kutokana na mnyong'onyeo.
Na hawa akina Harmonize na watu wengine wa calibre yao,wangeingia mjini kwa adabu kama wenzao akina Rayvann walivyoingia nakutulia tuli huku wakijikita kwenye kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si alikuwa amechizi ?Jini nilimkuta Mwanza club ya Diamond pale kona ya Bwiru, kapendeza, mtamu kweli.
Hapana, yupo na mwenzie anakula mchemsho.Si alikuwa amechizi ?
Huogopi ngoma?Hapana, yupo na mwenzie anakula mchemsho.
Kuna sponsa pia alikuwepo, asingekuwepo ningechukua namba.
Nilikua sijui hii circle.Huogopi ngoma?
Hapo usiingie mkuuHapana, yupo na mwenzie anakula mchemsho.
Kuna sponsa pia alikuwepo, asingekuwepo ningechukua namba.
Mi simuamini yeyote... kinga lazima ihusike.... Mpenzi aliye mbali lazima tupime kwanza kila tunapokutanaNilikua sijui hii circle.
Ila usije dhani ww apo haupo kwenye circle yyt.
Noted. Nilikua sijui cv yake.Hapo usiingie mkuu