Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

Jamani inatishaa kweli ukiambiwa fulani kaungua usidhani wanakuonea wivu
 
ARV zinawastiri sana watu,pamoja na uboreshwaji wa huduma za afya,bila hivyo tungekua tunatengana hata kwenye vyombo vya usafiri kwakuogopana kutokana na mnyong'onyeo.

Na hawa akina Harmonize na watu wengine wa calibre yao,wangeingia mjini kwa adabu kama wenzao akina Rayvann walivyoingia nakutulia tuli huku wakijikita kwenye kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rayvan naye amevamia jiji kale katoto alichozaa nacho naye wale wale unless kama ametulia baada ya kuwa na Rayvan
 
Back
Top Bottom