Sasa stv akee aliitoa huku na yeye yumo au ndo kupagawa?List aliitoa 6TVU... Kwa mama mzazi wa Diana .... Kipindi hicho diana afya imeteteleka........ Mama kwa asira akawa anaonge kwa watu.....magazeti ya udaku yakazidaka.
Namfikiria mama ongea na mwanao hapa
Wote wameungua haoChanzo: Global Publishers
Hii habari ni ya 2010
Katoboa mdau tupo nae mpaka huu mwakaMe nasema ukweli CCM waandae fedha za mazishi ya kada wao Steve nyerere huyu jamaa mwaka huu hamalizi. Kwa hali niliyomkuta na kwa mnyong'onyeo ule hakika haponi.
Yupo mpaka kesho
2024 na bado anaishiMe nasema ukweli CCM waandae fedha za mazishi ya kada wao Steve nyerere huyu jamaa mwaka huu hamalizi. Kwa hali niliyomkuta na kwa mnyong'onyeo ule hakika haponi.
2025 tumeingia nae2024 na bado anaishi
ARV zinasaidiaHuu ugonjwa ni Hatari, sijui kwanini mpaka sasa hauna dawa.
Baada ya diana washaondoka wawili Aisha na Banza .
Abuu yeye alikufa kwa ajali.
Choki, stive nyerere na Hao wengine inawezekana hawana.
yanga 3 v mazembe 1Ngapi huko?