Tangu lini muislamu akawa na akili huyo salimu mwalinu ni mmoja waoKamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo)
Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana huko alikokuwa alifanya sana kazi
Ikaja chopa nyekundu nduu..baada ya excuse kibao kuhusu kuchelewa kufika..(kumbe ilikuwa kwa fundi maiko😂) ikapiga kazi siku saba kasoro.. IKATAGA! tena yai viza
Hapo ilipitagia ikashikwa na ugonjwa wa matende.. Ikashindwa kuruka hata futi moja.. Ikashikwa na kifaduro
Ikashikwa na TB
Ikashikwa na tetekuwanga
Ikashikwa na mafua ya ndege
Za ndaani kabisa zinasema.. Kumbe chopa ilikuwa na upungufu wa kinga kwenye mashine
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia chopa likiwa juu ya fuso.. Self created brake down
Sijui nani aliingizwa cha city..! Mfadhili au dalali wa chopa?
Walienda Arusha Kwa gari bila chopa,kilichowapata hawatorudia
TusimulieWalienda Arusha Kwa gari bila chopa,kilichowapata hawatorudia😁
Tanzania nzima uonapo Ubwabwa na Maharage ujue hapo ndio mkutano wa CHAUMA ulipo.Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo)
Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana huko alikokuwa alifanya sana kazi
Ikaja chopa nyekundu nduu..baada ya excuse kibao kuhusu kuchelewa kufika..(kumbe ilikuwa kwa fundi maiko😂) ikapiga kazi siku saba kasoro.. IKATAGA! tena yai viza
Hapo ilipitagia ikashikwa na ugonjwa wa matende.. Ikashindwa kuruka hata futi moja.. Ikashikwa na kifaduro
Ikashikwa na TB
Ikashikwa na tetekuwanga
Ikashikwa na mafua ya ndege
Za ndaani kabisa zinasema.. Kumbe chopa ilikuwa na upungufu wa kinga kwenye mashine
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia chopa likiwa juu ya fuso.. Self created brake down
Sijui nani aliingizwa cha city..! Mfadhili au dalali wa chopa?
Abdul naye mjinga, hivi uwekeze ma bilioni Kwa Mrema, Kigaila,Minja, Catherine makalorite ambao hawajawai kushinda Ata Jimbo,Project ya Chaumma imebuma,wao waliwaaminisha CCM kuwa wana uwezo wa kuhama na ile nyomi ya Chadema na ndiyo maana CCM walikubali kutoa fedha na kuwaahidi majimbo 30 ya uchaguzi, laakini baada ya kuona kuwa hawa watu hawakubaliki hata kwenye maeneo walikozaliwa wameona ni mradi usiotekelezeka,utawapa majimbo kwa mtaji gani wa wapiga kura waliokuwa nao? Na pia ni mwanachama gani wa CCM ambaye kutokana na Chadema kutoshiriki uchaguzi ana uhakika wa kushinda leo akubali jimbo wapewe Chaumma? Hivyo CCM kupitia Abdul ambaye ndiye anatoa fedha kwenye hii project wameamua kusitisha huduma na mchezo ukaishia hapo. Mbowe naye ile hela iliyobaki kwake baada ya project ya kumzuia Lissu kuwa mwenyekiti kufeli ameamua kuichikichia mazima kwani ameona Chaumma ni kama zigo la mavi halibebeki.
Ndani ya CHADEMA angeweza kama alivyoweza mwanzoniLooking in retrospect, nawashangaa sana Chadema!! Ndio maana wengine mioyo imeshagoma kuwakubali kwasababu wana mizaha mingi.
Huyo mwamba ndo alikua mgombea mwenza wa Tundu Lissu 2020 meaning kama Lissu angeshinda halafu kikamkuta chochote katikati ya safari, Salum Mwalimu ndo angekua RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA!!
Tusi lililoje kwa Watanzania!

Si nilisikiaga eti ile chopa ilikuwa na changamoto ya engine ikabidi waweke engine ya toyo ndo ikapiga kazi siku chache likaja tatizo la mfadhili aliyekuwa anawapa pesa ya wese akakata msaada baada ya kuona project imebuma hivyo chopa imepaki sheli mpaka sasa hakuna hata wese la kuitoa hapo japo kuirudisha kule garage ilipokuwaga mwanzoKamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo)
Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana huko alikokuwa alifanya sana kazi
Ikaja chopa nyekundu nduu..baada ya excuse kibao kuhusu kuchelewa kufika..(kumbe ilikuwa kwa fundi maiko😂) ikapiga kazi siku saba kasoro.. IKATAGA! tena yai viza
Hapo ilipitagia ikashikwa na ugonjwa wa matende.. Ikashindwa kuruka hata futi moja.. Ikashikwa na kifaduro
Ikashikwa na TB
Ikashikwa na tetekuwanga
Ikashikwa na mafua ya ndege
Za ndaani kabisa zinasema.. Kumbe chopa ilikuwa na upungufu wa kinga kwenye mashine
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia chopa likiwa juu ya fuso.. Self created brake down
Sijui nani aliingizwa cha city..! Mfadhili au dalali wa chopa?
Hahahaha😂😂😂😂Si nilisikiaga eti ile chopa ilikuwa na changamoto ya engine ikabidi waweke engine ya toyo ndo ikapiga kazi siku chache likaja tatizo la mfadhili aliyekuwa anawapa pesa ya wese akakata msaada baada ya kuona project imebuma hivyo chopa imepaki sheli mpaka sasa hakuna hata wese la kuitoa hapo japo kuirudisha kule garage ilipokuwaga mwanzo😁
Yaani John mrema akawe master mind wa kujenga chama kweli?Walienda Arusha Kwa gari bila chopa,kilichowapata hawatorudia😁
Wamepoa kama uboo uliotoka kumwagaYaani John mrema akawe master mind wa kujenga chama kweli?
Yaani salum mwalimu hata kuzungumza kwenyewe shida ajenge chama cha siasa kweli?
Walifikiria watz hawa ni wale wa 19?
Ukweli ni kwamba kuanzisha chama cha siasa kunahitaji mikakati na siyo mihemko kama walivyofikira hata huyo mbowe aliwategemea watu wengineWamepoa kama uboo uliotoka kumwaga