PreGE2025 Tujikumbushe: Hivi CHAUMMA kilifanikiwa kuzunguka nchi nzima kwa siku 16?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenyekiti aliyeuza chama kwa kupenda kwake ubwabwa anaumwa.Lakini yule Bata aliyetanguliza watoto kachungulia bandani kaona atafilisika.
 
Mimi nina hakika CCM hatuwezi kuhalalisha uchaguzi Mkuu kwa kutumia CHAUMA na ACT Wazalendo.

Jumuiya za ndani ya nchi na za kimataifa zinakitambua CHADEMA kuwa ndiyo Chama kikuu Cha upinzani.

Jumuiya hizo pia zinatambua kuwa taratibu za uchaguzi haziko sawa.

Ikumbukwe kuwa Magufuli,pamoja na ubabe wake,lakini alihakikisha Chadema kinashiriki uchaguzi Mkuu.Hii ni kwa sababu katika nchi yoyote jambo linaloangaliwa kwa unzito mkubwa na wananchi na Jumuiya za kimataifa ni uchaguzi Mkuu.

Tujiulize kama nchi tunaweza kumudu uchaguzi utakaogharimu fedha yote halafu ustambuliwe na Watanzania walio wengi na Jumuiya ya kimataifa.Ni sawa na kupanda shamba kubwa na usivune chochote.

Madhara yake ni kutengwa na Jumuiya ya kimataifa,kukosa uwekezaji,kukosa misaada na mikopo.Hatuwezi kumudu kujiendesha bila misaada au mikopo.
Mapato yetu bado yako chini mno.
 
Tangu lini muislamu akawa na akili huyo salimu mwalinu ni mmoja wao
 

Attachments

  • Duh kiongozi kama huyu mchapa kazi kumpata tena ni mitano tena 🫣.mp4
    947.9 KB
  • Mawazo ya watu watatu tofauti kuhusu kukopa.mp4
    1.1 MB
  • Samia is coming for youall😂😂😭😭.mp4
    1.1 MB
Tanzania nzima uonapo Ubwabwa na Maharage ujue hapo ndio mkutano wa CHAUMA ulipo.
CHAMA CHA UBWABWA NA MAHARAGE
 
Project ya Chaumma imebuma,wao waliwaaminisha CCM kuwa wana uwezo wa kuhama na ile nyomi ya Chadema na ndiyo maana CCM walikubali kutoa fedha na kuwaahidi majimbo 30 ya uchaguzi, laakini baada ya kuona kuwa hawa watu hawakubaliki hata kwenye maeneo walikozaliwa wameona ni mradi usiotekelezeka,utawapa majimbo kwa mtaji gani wa wapiga kura waliokuwa nao? Na pia ni mwanachama gani wa CCM ambaye kutokana na Chadema kutoshiriki uchaguzi ana uhakika wa kushinda leo akubali jimbo wapewe Chaumma? Hivyo CCM kupitia Abdul ambaye ndiye anatoa fedha kwenye hii project wameamua kusitisha huduma na mchezo ukaishia hapo. Mbowe naye ile hela iliyobaki kwake baada ya project ya kumzuia Lissu kuwa mwenyekiti kufeli ameamua kuichikichia mazima kwani ameona Chaumma ni kama zigo la mavi halibebeki.
 
Looking in retrospect, nawashangaa sana Chadema!! Ndio maana wengine mioyo imeshagoma kuwakubali kwasababu wana mizaha mingi.

Huyo mwamba ndo alikua mgombea mwenza wa Tundu Lissu 2020 meaning kama Lissu angeshinda halafu kikamkuta chochote katikati ya safari, Salum Mwalimu ndo angekua RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA!!

Tusi lililoje kwa Watanzania!
 
Abdul naye mjinga, hivi uwekeze ma bilioni Kwa Mrema, Kigaila,Minja, Catherine makalorite ambao hawajawai kushinda Ata Jimbo,
 
Ndani ya CHADEMA angeweza kama alivyoweza mwanzoni
 
Ndani ya CHADEMA angeweza kama alivyoweza mwanzoni
 
Si nilisikiaga eti ile chopa ilikuwa na changamoto ya engine ikabidi waweke engine ya toyo ndo ikapiga kazi siku chache likaja tatizo la mfadhili aliyekuwa anawapa pesa ya wese akakata msaada baada ya kuona project imebuma hivyo chopa imepaki sheli mpaka sasa hakuna hata wese la kuitoa hapo japo kuirudisha kule garage ilipokuwaga mwanzo
Hivyo wanasubiri ije kubebwa kama ile boti ya mama😁
 
Hahahaha😂😂😂😂
 
Nitakuja ku comment nikimaliza kucheka 🤣
Snyway mnapoweka nyuzi kama hizi wekeni na picha za mbwembwe za mikutano mikubwa kabisa ya chama kama Mwanza nk
 
Walienda Arusha Kwa gari bila chopa,kilichowapata hawatorudia😁
Yaani John mrema akawe master mind wa kujenga chama kweli?
Yaani salum mwalimu hata kuzungumza kwenyewe shida ajenge chama cha siasa kweli?
Walifikiria watz hawa ni wale wa 19?
 
Yaani John mrema akawe master mind wa kujenga chama kweli?
Yaani salum mwalimu hata kuzungumza kwenyewe shida ajenge chama cha siasa kweli?
Walifikiria watz hawa ni wale wa 19?
Wamepoa kama uboo uliotoka kumwaga
 
Wamepoa kama uboo uliotoka kumwaga
Ukweli ni kwamba kuanzisha chama cha siasa kunahitaji mikakati na siyo mihemko kama walivyofikira hata huyo mbowe aliwategemea watu wengine
Sasa kigaila aanzishe chama kweli jamani? Akiongea ana terema kama generator bovu
Mrema muda wote kalewa
Chama cha siasa siyo kikundi cha vicoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…