PreGE2025 Tujikumbushe: Hivi CHAUMMA kilifanikiwa kuzunguka nchi nzima kwa siku 16?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna komenti nilisema kama watamaliza mikoa yote 16 waliyopanga kutembelea wangekuwa na moyo wa chuma, mikoa miwili tu chalii wahasikiki tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…