Nilipanda enzi hizo nasoma middle school Tabora boyzKama ulipanda haya mabasi jione kuwa hivi sasa upo kwenye dakika za majeruhi refa anaweza kumaliza mpira wakati wowote.
View attachment 3276768
Kipindi hiki kutoka Bukoba kuelekea Mzizima ilikuwa ni safari ya siku ngapi? Je kutoka Mbeya kwenda Mwanza ilikuwa ni siku ngapi?
Muongo huyo, haizidi siku 4.Kuna mdau alisema walitumia siku 7 kutoka Mbeya to Mwanza 😃
Mkuu nawew umepanda haya mabas?Songea to Dsm, siku 3.
Aseeh watu waliteseka hatariii. Lol
HapanaMkuu nawew umepanda haya mabas?
Sijawahi na sio sehemu ya hio generation, niliona kwa macho 1990s na kwa sasa naziona za Jeshi JWTZKama ulipanda haya mabasi jione kuwa hivi sasa upo kwenye dakika za majeruhi refa anaweza kumaliza mpira wakati wowote.
View attachment 3276768
Kipindi hiki kutoka Bukoba kuelekea Mzizima ilikuwa ni safari ya siku ngapi? Je kutoka Mbeya kwenda Mwanza ilikuwa ni siku ngapi?
Mzee Shkamoo, vp mzee wajukuu hawajambo?Nimepanda mabasi yafuatayo:-
- Railways
- Kamata
- Kwacha
- Nyota
- Zainabs
- Movement Star
- Okoa
- Safina
- Amina/ Aluta Continua
- Matema Beach
- Tawaqal
- Mwanahapa
- M Sleeping
- Sayuni
- Twiga/ Ndingo
- Tahfif
- Tanganyika Bus
- Bunda Bus
- Madoadoa
- Trans Afrika
- Zakaria
- Embakassy
- Urafiki
- Scandinavia